Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

I really dont know. Sio hilo tuu, i also dont know about gavana Balali.
 
Hii hotuba hivi haikuwa kabla uchaguzi haujafanyika 1995? Na maana kuwa Ben alikuwa bado hajaanza kutawala, Au kumbukumbu zangu zimechakachuliwa.

Kumbukumbu zako zimechakachuliwa !
mkuu kumbukumbu zako ni sahihi nadhani msemaji kajichanganya kidooogo kama alikuwa hatudanganyi!

Yaani hata wewe ! Mkapa alichaguliwa mwaka 1995. Hotuba ya Mwalikmu kwa wafanyakazi Mbeya ilikuwa mwaka 1997, upo ? Alikuwa anapinga mpango wa kuuza NBC na ndio siku aliongelea upumbavu wa mtu kupewa ushauri wa kijinga !
 
AAH, mimi hata sijui nisemeje! Watu wanamsema sana mwanzilishi wa mada hii lakini wanakuja na hints ambazo zinanifanya niamini kuwa pengine kuna siri ambayo mwanzilishi wa mada hii anayo! Ingekuwa vyema kama angesema sababu za yeye kudoubt kuwa Mwalimu did not die on a natural cause!
 
Kumbukumbu zako zimechakachuliwa !

Yaani hata wewe ! Mkapa alichaguliwa mwaka 1995. Hotuba ya Mwalikmu kwa wafanyakazi Mbeya ilikuwa mwaka 1997, upo ? Alikuwa anapinga mpango wa kuuza NBC na ndio siku aliongelea upumbavu wa mtu kupewa ushauri wa kijinga !

Hapana hotuba ile ilikuwa Mei Mosi, 1995 Mkapa alikuwa bado hajachaguliwa wala kujulikana kama atakuwa mgombea.
 
Sisi watu wa pwani, tuna msemo, "Elam ya mout bi saifi mata bi ghairihi, tanawaat 'lasbab, wal mut wahid", bi maana: Afae kwa upanga au kwa kingine chochote kile, kifo ni kimoja tu.

Alie kufa, kafa, hata iwe sababu ipi? Kifo ni kifo

Nijuavyo lugha ya pwani ya Tanzania ni kiswahili. Yumkini hiki ulichoandika siyo kiswahili na hii inamaana siyo lugha ya pwani ya Tanzania. Naomba ufafanuzi
 
TATA ngoja nikusaidie najua lugha imekupita kidogo😀id Mwalimu die a natural death??= Je Mwalimu alikufa kifo cha kawaida?
 
TATA ngoja nikusaidie najua lugha imekupita kidogo😀id Mwalimu die a natural death??= Je Mwalimu alikufa kifo cha kawaida?

kifo cha kawaida ni kipi na kisicho cha kawaida (labda cha maajabu) ni kipi??
 
hotuba ile ilikuwa mei mosi 1995 nilikuwepo uwanja wa sokoine Mbeya Kwa wakati huo mwanafunzi MTC
 
Kumbukumbu zako zimechakachuliwa !

Yaani hata wewe ! Mkapa alichaguliwa mwaka 1995. Hotuba ya Mwalikmu kwa wafanyakazi Mbeya ilikuwa mwaka 1997, upo ? Alikuwa anapinga mpango wa kuuza NBC na ndio siku aliongelea upumbavu wa mtu kupewa ushauri wa kijinga !

Acha kudanganya JF ndugu, ile hotuba ya Sokoine Stadium ilikuwa Mei Mosi ya 1995. Mimi nilikuwepo uwanjani that day. Kama unaweza kuicheki kwenye TV irudie, pale meza kuu alikuwepo Basil Mramba akiwa Warizi wa Kazi, baada ya kumrithi Lyatonga alivyojiuzulu, pia alikuwepo Paul Kimiti akiwa mkuu wa Mkoa wa Mbeya by that time na Marehemu, Bruno Mpangala akiwa mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi Tanzania. Labda umri kidogo kaka uko nyuma
 
sijapata jibu bado kuhusu sokoine wandugu.
 
Back
Top Bottom