Did Mwalimu die a natural death?

Did Mwalimu die a natural death?

Daaaah! Hiyo ID ya BIA ilikuwa hailali! Kila thread itakayoandikwa kumhusu JIWE, basi mchango wake utakuwepo kwenye kwenye tatu za kwanza.

Kwa ilivyoyeyuka kama Moshi kwenye upepo, kuifungamanisha na waliotutangulia mbele za haki, beberu anasema itakuwa ni prudence!
 
Ironically, tangu IMRAN - SHIMBO alivyoanzisha huu uzi, hajawahi kukanyaga tena JF. Sijui alikutwa na masahibu gani! 😆😆
 
Sisi watu wa pwani, tuna msemo, "Elam ya mout bi saifi mata bi ghairihi, tanawaat 'lasbab, wal mut wahid", bi maana: Afae kwa upanga au kwa kingine chochote kile, kifo ni kimoja tu.

Alie kufa, kafa, hata iwe sababu ipi? Kifo ni kifo
Watu wa pwani kivipi ongea kizaramo hata wa capetown ni wa pwani au hamjui lugha zenu?!
 
Daaaah! Hiyo ID ya BIA ilikuwa hailali! Kila thread itakayoandikwa kumhusu JIWE, basi mchango wake utakuwepo kwenye kwenye tatu za kwanza.

Watanzania pigeni kazi Vita ya uchumi hamuioni. Sina namna zaidi ya nyinyi kunienzi

MAGUFULI4LIFE
 
Mwendazake alisemekana kuwa na ID kadhaa akizitumia kwa ku zoom na kujisemea hiiiiii!

Pumzika kwa amani Bia yetu kama ni kweli ulikuwa wewe.
Screenshot_20221016-092248.png
duh
 
Aise wewe jamaa upo jf tangu 2010 basi weee ni mzee wangu kabisa
Nipo kabla ya 2010. Nilikuwapo tangu JF ni Jamboforums. Nilikuwapo kabla ya JF kuwapo. Nilikuwapo enzi za Youngafrican.com Darhotwire.com na Nyenzi.com

Nilikuwapo enzi za Geocities Mailcity na Lycos.

Enzi za internet ya kabla ya Google search engine ilikuwa Yahoo.

Enzi za internet ya Yahoo directory.

Halafu leo Mcqueenen bila hata uchunguzi mdogo kabisa kaniita GenZ.
 
Mkuu mie nikikukosa Huwa najiuliza mambo mengi sana, maandiko yako ni muhimu sana hapa jukwaani Chief.
 
Nipo kabla ya 2010. Nilikuwapo tangu JF ni Jamboforums. Nilikuwapo kabla ya JF kuwapo. Nilikuwapo enzi za Youngafrican.com Darhotwire.com na Nyenzi.com

Nilikuwapo enzi za Geocities Mailcity na Lycos.

Enzi za internet ya kabla ya Google search engine ilikuwa Yahoo.

Enzi za internet ya Yahoo directory.

Halafu leo Mcqueenen bila hata uchunguzi mdogo kabisa kaniita GenZ.
Kumekucha
 
Please grow up dude and stop writing you comment/s like an idiot
Dear Great thinkers. The guy has posed a qn which he xpects answers and further discussions from the jamvi. Instead, he receives flowing questions. Pls, let us discuss the issue as it sounds well
 
How long shall they kill our prophets while we stand aside and look?
They did magufuli what they did nyerere
 
Nipo kabla ya 2010. Nilikuwapo tangu JF ni Jamboforums. Nilikuwapo kabla ya JF kuwapo. Nilikuwapo enzi za Youngafrican.com Darhotwire.com na Nyenzi.com

Nilikuwapo enzi za Geocities Mailcity na Lycos.

Enzi za internet ya kabla ya Google search engine ilikuwa Yahoo.

Enzi za internet ya Yahoo directory.

Halafu leo Mcqueenen bila hata uchunguzi mdogo kabisa kaniita GenZ.
You were right I was wrong. Dont hold grudges
 
Back
Top Bottom