Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Daaaah! Hiyo ID ya BIA ilikuwa hailali! Kila thread itakayoandikwa kumhusu JIWE, basi mchango wake utakuwepo kwenye kwenye tatu za kwanza.Mwendazake alisemekana kuwa na ID kadhaa akizitumia kwa ku zoom na kujisemea hiiiiii!
Pumzika kwa amani Bia yetu kama ni kweli ulikuwa wewe.