Did Tanzania Steal SA's National Anthem?

Did Tanzania Steal SA's National Anthem?

Melody ni ya ANC. Ulikuwa wimbo wa chama cha ANC tangu miaka ya 1920. Haukuwa wimbo wa nchi yeyote. Kwa sababu ya Pan Africanism nchi zile za front line zilitumia kama nyimbo za mataifa hayo zikiomgozwa na Tanzania.

Soma historia na ujue lengo la huo wimbo.
Kenya walikuwa vibaraka wa makaburu

Ndio maana mpaka sasa dhambi ya usaliti inawatesa sana wakenya wanatakiwa watubu.
kwahiyo asili ya huu mwimbo ni south afrika.
sisi tumecopy.
 
Wimbo Nkhosi Silkheleli ulianzishwa na ANC miaka ya 1920. Vyama vya kupigania Uhuru vya Zambia (UNIP) na ,Tanganyika (TANU,) kwa moyo wa Pan-,Africanism navyo vikaadopt mapigo yake bali siyo kwa maneno yote. Zilipopata uhuru zikawa nyimbo za taifa. SA yenyewe imeuchukua nusu na kuunganisha na wa Makaburu eti ku-compromise.
Umeshawahi kujiuliza, kwamba Tanganyika ilipoungana na Zanzibar, ulitengenezwa Wimbo mwingine wa Taifa au ulibakia kuwa uleule wa Nkhosi Silkheleli ambao TANU iliukopi kutoka kwa wenzetu? Ndio maana Zanzibar mpaka leo wanang'ang'ana na wimbo wao wa Taifa, ingawa nao ni wachache sana wanaoweza kuuimba!
Tunajua umuhimu wa Pan Africanism na tunajivunia kushiriki katika harakati za ukombozi kwa nchi marafiki lakini huu wimbo tulionao hauoneshi ubunifu na uhalisia wetu. Ukipigwa ukiwa Zambia au SA, ile mirindimo na mikito ya ala pamoja na sauti inaonyesha kwamba tumekopi SA au Zambia. Kwa kuwa mirindimo, sauti na mikito ya ala ina mahadhi ya hizo nchi. Tukubaliane, imefika mahala lazima tuwe na wimbo wa Taifa wenye mahadhi na mirindimo ya Kitanzania.
 
kwahiyo asili ya huu mwimbo ni south afrika.
sisi tumecopy.
Ndiyo. Halafu ona vile mnajustify huo kucopy wimbo wa wenyewe ati sijui "pan-africanism", "tuliwasaidia kupigania Uhuru", "wakenya ni wasaliti"............nonsense.

Huo wimbo ulitungwa na waSA wakati wa kupigania uhuru in the early 1900s, Tanzania, due to their lack of creativity or sumthin, purloined that tune!
What a shame!
 
Ndiyo. Halafu ona vile mnajustify huo kucopy wimbo wa wenyewe ati sijui "pan-africanism", "tuliwasaidia kupigania Uhuru", "wakenya ni wasaliti"............nonsense.

Huo wimbo ulitungwa na waSA wakati wa jupigania uhuru in the early 1900s, Tanzania, due to lack of creativity or sumthin, purloined that tune!
What a shame!
watanzania ni wakurupukaji na ni wataalamu wa copy and paste.
 
all Pan Africanist countries agreed to have a national anthem with same melody except Kenya that was Boers' collaborator!
Really? Tell us which other African countries (apart from ofcos Zambia, Zim and Tz) have the same tune in their national anthem? Nigeria? Ethiopia? Ghana? These were staunch pan-Africanist countries that were opposed to the SA aperthied system just as fiercely as Tanzania.
 
They should have written; Made in South Africa.

kweli wimbo wa wenyewe huu kutoka afrika kusini

It was first performed in Swahili at a ceremony on 8 December 1961 following the independence of Tanganyika from the British Empire. "Mungu ibariki Afrika" was composed to replace the British national anthem, "God Save the Queen" as the national anthem of Tanganyika.[4] This made Tanganyika the first African nation to adopt the tune of "Nkosi Sikelel' iAfrika" as its national anthem.[5] In 1964, Tanganyika formed a union with Zanzibar, which created the United Republic of Tanganyika and Zanzibar (later renamed to Tanzania). The newly united country adopted "Mungu ibariki Afrika" as its national anthem instead of Zanzibar's anthem.[5] Tanzania's use of "Mungu ibariki Afrika" led the way for other African countries such as Zimbabwe,Ciskei and Transkei adopted "Nkosi Sikelel' Afrika", in parts, as their national anthems. South Africa where the song comes from use only some of the words, Zambia uses only the tune and other countries have now abandoned its use.[2] "Mungu ibariki Afrika" was inspired by the African National Congress's use of "Nkosi Sikelel' iAfrika" ("God Bless Africa") as its party song after its use at Ohlange High School. The ANC anthem led to "Mungu ibariki Afrika" being selected as the national anthem of Tanzania.[6][7][8] "Mungu ibariki Afrika" is also used as a hymn requesting Tanzania remain united and independent.[9]
 
He kumbe wamewahi kushabikia ukandamizaji wa haki za watu???? ndiyo maana dhambi ya usaliti inawatafuna kila siku ukikuyu, uluya sijui ujaluo!

wimbo ni kutoka SA na kuandikwa na mzungu katumiwa na TZ kama national anthem

"Mungu ibariki Afrika" was translated and became the anthem of Tanganyika. It was essentially assigned to Enoch Sontonga, who died in 1905. Mungu ibariki Afrika used the tune to "Nkosi Sikelel' iAfrika" with a Swahili translation of the words. It is not known who composed the lyrics but it is known that it was Samuel Mqhayi and Enoch Sontonga who created the early versions used by theAfrican National Congress.[2] Although the tune has been assigned to Sontonga it is thought that the tune was originally written byJoseph Parry.[3][1]
 
Hata nyinyi bakenya shobokea nchi ya somalia lakini mnakoma licha ya kukimbia sana olympic tih tih tih
 
One thing i know is that Kenya fights its battles. Those brotherhood nonsense are overrated. If Tanzania believed so much in redeeming South Africa why did it take a fncking thirty years to do so?
 
One thing i know is that Kenya fights its battles. Those brotherhood nonsense are overrated. If Tanzania believed so much in redeeming South Africa why did it take a fncking thirty years to do so?
kama tz inajidai inajali sana maslahi ya waafrika wenzao kama wanavyosema,waende somali wakapiganie kuikomboa sio kujipendekeza kwa south africa
 
Ndiyo. Halafu ona vile mnajustify huo kucopy wimbo wa wenyewe ati sijui "pan-africanism", "tuliwasaidia kupigania Uhuru", "wakenya ni wasaliti"............nonsense.

Huo wimbo ulitungwa na waSA wakati wa kupigania uhuru in the early 1900s, Tanzania, due to their lack of creativity or sumthin, purloined that tune!
What a shame!

Sikua najua kua wewe ni mpumbavu kiasi hiki. Nini Ethiopia ilikua ikifanya zaidi ya Umoja wa afrika kua kwao na leaders wengi wa umoja huo ni watanzania na hakuna mtu aliyeongoza umoja huo kwa muda mrefu kuliko yeyeote ni Mtanzania Dr Salim Ahmed Salim.

Pia, ni ujinga wa kutisha hasa ukisema eti "lack of creativity" ya utungaji wa national anthem. Sikujua wewe ni mpumbavu wa kutisha or unachuki binafsi na TZ. Pia nlichigundua, Wakenya wengi ni watu wa wivu na majungu, relation kati ya Tanzana na South Africa wanauchukia sana. Nyinyi ni Wasenge sana!
 
kama tz inajidai inajali sana maslahi ya waafrika wenzao kama wanavyosema,waende somali wakapiganie kuikomboa sio kujipendekeza kwa south africa

Hivi tunajipendekezaje? maana kama kupigania uhuru hatukupigania wa South Africa alone, mozambique, Namibia, Angola, Zimbabwe, Comoro, seychelle, Uganda....and more, Why South Africa? mbona hii relation kati ya Tanzania na South Africa mnaipiga sana vita?
 
Sikua najua kua wewe ni ******** kiasi hiki. Nini Ethiopia ilikua ikifanya zaidi ya Umoja wa afrika kua kwao na leaders wengi wa umoja huo ni watanzania na hakuna mtu aliyeongoza umoja huo kwa muda mrefu kuliko yeyeote ni Mtanzania Dr Salim Ahmed Salim.

Pia, ni ujinga wa kutisha hasa ukisema eti "lack of creativity" ya utungaji wa national anthem. Sikujua wewe ni ******** wa kutisha or unachuki binafsi na TZ. Pia nlichigundua, Wakenya wengi ni watu wa wivu na majungu, relation kati ya Tanzana na South Africa wanauchukia sana. Nyinyi ni Wasenge sana!

Tanzania ilifanya nini? Na usilete quotes za some guerilla fighters. Lack of creativity is very relevant since you had a chance to display some national ideals but chose to play the flower girls role. Why does a national anthem have to be copied from another country?
 
Hivi tunajipendekezaje? maana kama kupigania uhuru hatukupigania wa South Africa alone, mozambique, Namibia, Angola, Zimbabwe, Comoro, seychelle, Uganda....and more, Why South Africa? mbona hii relation kati ya Tanzania na South Africa mnaipiga sana vita?
wajua maana ya kupiga vita kweli?....hii mada tunaongelea south africa na tz...sio wimbo wa taifa wa uganda ama zimbabwe thats why tunataja south africa.Alafu kimaoni yangu mnajipendekeza cz watz na hata waafrica wengine kule huuliwa na hao wasouth na sijawai waona watz wakipiga kelele kuihusu...mnakuja na kashfa za kenya waizi hatuezi ungana nao.mwarudi south mkauliwe tena.
 
Tanzania ilifanya nini? Na usilete quotes za some guerilla fighters. Lack of creativity is very relevant since you had a chance to display some national ideals but chose to play the flower girls role. Why does a national anthem have to be copied from another country?

I wont let some stupid fools like yourself degrade my dignity.The level of ignorance and arrogance among Kenyans is sickening. Nyie watu ni wajinga sana! Claiming to be educated while a substantial number of you cant even rise above tribalism, Idiots!
 
wajua maana ya kupiga vita kweli?....hii mada tunaongelea south africa na tz...sio wimbo wa taifa wa uganda ama zimbabwe thats why tunataja south africa.

You are very stupid! All citizens of the great United Republic of Tanzania are constitutionally entitled to military training. Asking us about wars? you should tell us how many wars your half-desert country has fought and won. mavi ya kuku.......!
 
I wont let some stupid fools like yourself degrade my dignity.The level of ignorance and arrogance among Kenyans is sickening. Nyie watu ni wajinga sana! Claiming to be educated while a substantial number of you cant even rise above tribalism, Idiots!

I got a question for you! ni kwanini ukizipitia mada nyingi hapa JF watanzania wengi kama wewe wakifikia mwizo wa mawazo kwa hoja, they just get down to insults. You are this or that bla bla.......TZ is full of negativeness same as any other African country. Dont even mention the treatment you give to albinos.......Why not just keep it to the debate. At the end of the day I dont blame you.....its JF mgt, they just cant get hold of things. wanasema juu maadili ya JF lakini kila kukicha hapa watu wanararuana kimatusi kiholela holela tu.
 
Back
Top Bottom