saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,169
- 1,356
wacha kujiaibisha we Geza....yuaitwa nani huyo mtanzania aliyetunga wimbo wa taifa wa kenyaBTW mtunzi wa wimbo wa Taifa wa Kenya ni Mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha kujiaibisha we Geza....yuaitwa nani huyo mtanzania aliyetunga wimbo wa taifa wa kenyaBTW mtunzi wa wimbo wa Taifa wa Kenya ni Mtanzania
kwahiyo asili ya huu mwimbo ni south afrika.Melody ni ya ANC. Ulikuwa wimbo wa chama cha ANC tangu miaka ya 1920. Haukuwa wimbo wa nchi yeyote. Kwa sababu ya Pan Africanism nchi zile za front line zilitumia kama nyimbo za mataifa hayo zikiomgozwa na Tanzania.
Soma historia na ujue lengo la huo wimbo.
Kenya walikuwa vibaraka wa makaburu
Ndio maana mpaka sasa dhambi ya usaliti inawatesa sana wakenya wanatakiwa watubu.
Umeshawahi kujiuliza, kwamba Tanganyika ilipoungana na Zanzibar, ulitengenezwa Wimbo mwingine wa Taifa au ulibakia kuwa uleule wa Nkhosi Silkheleli ambao TANU iliukopi kutoka kwa wenzetu? Ndio maana Zanzibar mpaka leo wanang'ang'ana na wimbo wao wa Taifa, ingawa nao ni wachache sana wanaoweza kuuimba!Wimbo Nkhosi Silkheleli ulianzishwa na ANC miaka ya 1920. Vyama vya kupigania Uhuru vya Zambia (UNIP) na ,Tanganyika (TANU,) kwa moyo wa Pan-,Africanism navyo vikaadopt mapigo yake bali siyo kwa maneno yote. Zilipopata uhuru zikawa nyimbo za taifa. SA yenyewe imeuchukua nusu na kuunganisha na wa Makaburu eti ku-compromise.
Ndiyo. Halafu ona vile mnajustify huo kucopy wimbo wa wenyewe ati sijui "pan-africanism", "tuliwasaidia kupigania Uhuru", "wakenya ni wasaliti"............nonsense.kwahiyo asili ya huu mwimbo ni south afrika.
sisi tumecopy.
watanzania ni wakurupukaji na ni wataalamu wa copy and paste.Ndiyo. Halafu ona vile mnajustify huo kucopy wimbo wa wenyewe ati sijui "pan-africanism", "tuliwasaidia kupigania Uhuru", "wakenya ni wasaliti"............nonsense.
Huo wimbo ulitungwa na waSA wakati wa jupigania uhuru in the early 1900s, Tanzania, due to lack of creativity or sumthin, purloined that tune!
What a shame!
Really? Tell us which other African countries (apart from ofcos Zambia, Zim and Tz) have the same tune in their national anthem? Nigeria? Ethiopia? Ghana? These were staunch pan-Africanist countries that were opposed to the SA aperthied system just as fiercely as Tanzania.all Pan Africanist countries agreed to have a national anthem with same melody except Kenya that was Boers' collaborator!
They should have written; Made in South Africa.
He kumbe wamewahi kushabikia ukandamizaji wa haki za watu???? ndiyo maana dhambi ya usaliti inawatafuna kila siku ukikuyu, uluya sijui ujaluo!
Na wewe ni.....?watanzania ni wakurupukaji na ni wataalamu wa copy and paste.
kama tz inajidai inajali sana maslahi ya waafrika wenzao kama wanavyosema,waende somali wakapiganie kuikomboa sio kujipendekeza kwa south africaOne thing i know is that Kenya fights its battles. Those brotherhood nonsense are overrated. If Tanzania believed so much in redeeming South Africa why did it take a fncking thirty years to do so?
Ndiyo. Halafu ona vile mnajustify huo kucopy wimbo wa wenyewe ati sijui "pan-africanism", "tuliwasaidia kupigania Uhuru", "wakenya ni wasaliti"............nonsense.
Huo wimbo ulitungwa na waSA wakati wa kupigania uhuru in the early 1900s, Tanzania, due to their lack of creativity or sumthin, purloined that tune!
What a shame!
kama tz inajidai inajali sana maslahi ya waafrika wenzao kama wanavyosema,waende somali wakapiganie kuikomboa sio kujipendekeza kwa south africa
Sikua najua kua wewe ni ******** kiasi hiki. Nini Ethiopia ilikua ikifanya zaidi ya Umoja wa afrika kua kwao na leaders wengi wa umoja huo ni watanzania na hakuna mtu aliyeongoza umoja huo kwa muda mrefu kuliko yeyeote ni Mtanzania Dr Salim Ahmed Salim.
Pia, ni ujinga wa kutisha hasa ukisema eti "lack of creativity" ya utungaji wa national anthem. Sikujua wewe ni ******** wa kutisha or unachuki binafsi na TZ. Pia nlichigundua, Wakenya wengi ni watu wa wivu na majungu, relation kati ya Tanzana na South Africa wanauchukia sana. Nyinyi ni Wasenge sana!
wajua maana ya kupiga vita kweli?....hii mada tunaongelea south africa na tz...sio wimbo wa taifa wa uganda ama zimbabwe thats why tunataja south africa.Alafu kimaoni yangu mnajipendekeza cz watz na hata waafrica wengine kule huuliwa na hao wasouth na sijawai waona watz wakipiga kelele kuihusu...mnakuja na kashfa za kenya waizi hatuezi ungana nao.mwarudi south mkauliwe tena.Hivi tunajipendekezaje? maana kama kupigania uhuru hatukupigania wa South Africa alone, mozambique, Namibia, Angola, Zimbabwe, Comoro, seychelle, Uganda....and more, Why South Africa? mbona hii relation kati ya Tanzania na South Africa mnaipiga sana vita?
Tanzania ilifanya nini? Na usilete quotes za some guerilla fighters. Lack of creativity is very relevant since you had a chance to display some national ideals but chose to play the flower girls role. Why does a national anthem have to be copied from another country?
wajua maana ya kupiga vita kweli?....hii mada tunaongelea south africa na tz...sio wimbo wa taifa wa uganda ama zimbabwe thats why tunataja south africa.
I wont let some stupid fools like yourself degrade my dignity.The level of ignorance and arrogance among Kenyans is sickening. Nyie watu ni wajinga sana! Claiming to be educated while a substantial number of you cant even rise above tribalism, Idiots!