Did Tanzania Steal SA's National Anthem?

It was also used as the national anthem of five countries in Africa including Zambia, Tanzania, Namibia and Zimbabwe after independence
 
Nimesoma majibu ya wadau mbalimbali humu ndani na nimesikitika sana. Why all the hate?! Kwa nini tunashindwa kutoa hoja bila matusi na dhihaka? Mpaka ninapata picha kuwa Bara letu lilikuwa na umoja na upendo zaidi kipindi cha kupigania uhuru kuliko sasa. This is just sad!

Binafsi sikufahamu historia nzima ya wimbo huu; imebidi niingie Google haraka kuitafuta. Kiukweli nimeshangazwa na kufurahishwa na nilichokisoma. Huu ni zaidi ya wimbo; ni sala, ni tamko la tunu/thamani yetu kama Afrika --Hekima, Umoja na Amani --Watu wake. Sio mali zilizo juu au chini ya ardhi yetu, sio mali tunazotengeneza, sio uchumi au siasa zetu...WATU WA AFRIKA. Ni kikubwa cha kujifunza ukitafakari huu wimbo. Tusisahau utu wetu, hii ndio tunu pekee tunayotakiwa kuilinda kwa nguvu zote.

Kiukweli ningefurahi kama ningepata wasaa wakufahamu kutoka kwa watu walioshiriki moja kwa moja, ilikuwaje hadi nchi hizi zikaridhia uamuzi huu...mazungumzo yao yalikuwaje...malengo yalikuwa yapi...nk

Nitajitahidi kufuatilia zaidi historia ya wimbo huu. Na kama kuna wenye ujuzi zaidi wa hili, tafadhali tujuze.

Wakenya wanachuki binafsi or wivu wa ukaribu Tanzania iliyonayo na baadhi ya Mataifa ya Africa and beyond. Kama unavyojua hakuna nnchi ya Africa with a very solid diplomatic relationship with China than the great United Republic of Tanzania. Na linapokuja swala ka SADC in East Africa, its only Tanzania that is the most esteemed and held in highest regard.

Jamaa wanawivu na chuki.
 
Huoni Utalii unavyopanda. Nyie mlikuwa mnatetea makaburu wakati wa nchi za Africa zikisaka uhuru.
Ndio maana nchi zote za Africa zinawatenga. Hakuna nchi yoyote Africa mnaweza shirikiana nayo.
Hebu nitajie nchi moja tu mnashirikiana nao.
Nyie ni wasaliti wa waafrica.

Yo, we fought for our independence, we shed blood for this flag, non of y'all helped us, we don't owe y'all nothing. hebu angalia leo hii viongozi wangapi wa Afrika wataingia Nairobi, nitajie nchi moja ambayo imeitenga Kenya. We are too influential to be ignored, that's a FACT. Huwezi taja nchi kumi Africa bila kuitaja Kenya.
 
Which influence? The major things that brought Kenya onto the world podium are: post election violences, endless chaos, reckless handling of westgate episode, and deaths of university students.
 
Yo, we fought for our independence, we shed blood for this flag, non of y'all helped us, we don't owe y'all nothing. hebu angalia leo hii viongozi wangapi wa Afrika wataingia Nairobi, nitajie nchi moja ambayo imeitenga Kenya. We are too influential to be ignored, that's a FACT. Huwezi taja nchi kumi Africa bila kuitaja Kenya.
Hebu nitajie nchi gani Africa mnashirikiana nayo? Mbona unakimbia swali langu. Hata majirani zenu Ethiopia wanawakimbia. Huku mnagombana na Somalia, Huku mnagombana na South Sudani, Huku mnagombana na Uganda.
Hebu niambie nchi gani africa mnaweza kushirikiana nayo enyi vibaraka wa wazungu na wasaliti wa ndungu zenu waafrica.

Asingekuwa Nyerere unadhani uhuru wenu ungekuwa rahisi. Shame on you, you don't even know the history of your continent.
 
Na itakuwaje TZ tukisema tuna hatimilki ya kiswahili na Nyinyi manyang'au mmekopi hii lugha toka kwetu.?
 
Wakenya wanachuki binafsi or wivu wa ukaribu Tanzania iliyonayo na baadhi ya Mataifa ya Africa and beyond. Kama unavyojua hakuna nnchi ya Africa with a very solid diplomatic relationship with China than the great United Republic of Tanzania. Na linapokuja swala ka SADC in East Africa, its only Tanzania that is the most esteemed and held in highest regard.

Jamaa wanawivu na chuki.

Ninaamini ni vyema zaidi kujadiliana kwa kuangalia suala lenyewe (wimbo wa taifa) kuliko kuonyesheana ubabe au mabavu, ndugu yangu. Tukianza kunyoosheana vidole, hamna chochote chema kitakachojengeka zaidi ya kuendeleza utengano na chuki. Hata tukikosoana, tukosoane kwa nia ya kujenga.

Nimependa jina la akaunti yako, itakuwa vizuri likiakisiwa pia kwenye mijadala yako. 🙂
 
Nimekupata vyema sana! Ila naona wewe ni mgeni na wakenya or wengi wa wakenya waliohapa na kwenye forum zingine.

unashirikiana na watu wenyekujali ushirikiano.
 
Ninaamini ni vyema zaidi kujadiliana kwa kuangalia suala lenyewe (wimbo wa taifa) kuliko kuonyesheana ubabe au mabavu, ndugu yangu. Tukianza kunyoosheana vidole, hamna chochote chema kitakachojengeka zaidi ya kuendeleza utengano na chuki. Hata tukikosoana, tukosoane kwa nia ya kujenga.

Nimependa jina la akaunti yako, itakuwa vizuri likiakisiwa pia kwenye mijadala yako. 🙂
Wimbo wa taifa sio tu kuimbwa lazima ubebe dhima na maana halisi ya malengo ya nchi: Kihistoria, Kijamii, Kiutamaduni na kiuchumi.

Huu wimbo wa taifa ni zaidi ya wimbo ni tunu ya Africa. Kwahiyo kama kitu hukijui ni bora ukajifunza na ukakubali kujifunza na kukubali kukubaliana na wengine sio kuona mawazo yako pekee ndio sahihi. Lengo la Pan-Africa ni kufanya bara la Africa kuwa State moja. Na lengo lile bado lipo.

Wewe hujui kwanini Tanzania ipo kwenye muungano wa nchi za kusini mwa Africa japo kuwa ipo east.
Tanzania ni kati ya nchi zilizokuwa Front Line States.
Hebu soma hapa kwanza:- Frontline States | South African History Online

Hawa wenzetu kenya walikuwa wakishabikia apartheid.
Huu wimbo ni icon ya Africa katika kudumisha Umoja.
Unasema:-

Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

:- Ngao zetu ni (Wisdom, Unity and Piece) for Africa
 
Tanzania was a leader of all frontline states and was as well a central command of the entire liberation movements.
 
Watu wanakuja tu from no where wanatoa maneno ya ajabu ajabu. Kenya haina historia yoyote katika ukombozi wa africa na maendeleo yake. Kenya wamekuwa vibaraka wakitumiwa ili wazungu waendelee kuikandamiza Africa.
Sisi Tanzani tumepambana sana kwa wajiri ya kuwakomboa waafrica wenzetu.
Ndio maana huko Somalia ugomvi hauishi hawa wenzetu wanatumia kwaajiri ya kuwatesa waafirca wenzao. Wamejaa umimi na usaliti wa hali ya juu.
The Front Line States: The Realities in Southern Africa

Hebu angalia maneno yaliyopo kwenye court of arm kati ya nchi za Africa utaona kenya wapo tofauti kabisa:-

Kenya.jpg

Hii ni ya Kenya angalia walivyotofauti na sisi
Namibia.png
SierraLeone.png
Tanzaia.png
Zambia.png
Zimbabwe.jpg
 
Umeshawahi kujiuliza, kwamba Tanganyika ilipoungana na Zanzibar, ulitengenezwa Wimbo mwingine wa Taifa au ulibakia kuwa uleule wa Nkhosi Silkheleli ambao TANU iliukopi kutoka kwa wenzetu? Ndio maana Zanzibar mpaka leo wanang'ang'ana na wimbo wao wa Taifa, ingawa nao ni wachache sana wanaoweza kuuimba!
Tunajua umuhimu wa Pan Africanism na tunajivunia kushiriki katika harakati za ukombozi kwa nchi marafiki lakini huu wimbo tulionao hauoneshi ubunifu na uhalisia wetu. Ukipigwa ukiwa Zambia au SA, ile mirindimo na mikito ya ala pamoja na sauti inaonyesha kwamba tumekopi SA au Zambia. Kwa kuwa mirindimo, sauti na mikito ya ala ina mahadhi ya hizo nchi. Tukubaliane, imefika mahala lazima tuwe na wimbo wa Taifa wenye mahadhi na mirindimo ya Kitanzania.
Bull. Kwa nini ukiwa Zambia usihisi kuwa ni wimbo wa TZ Badala ya Zambia? Kama wimbo ulikuwa na copy right wenyewe wangekuwa wamelalamika. Hauna. Maneno yake yanahakisi uzalendo kwa bara na taifa. Taabu ya bongo flavor mnasikiliza midundo siyo ujumbe wa Wimbo.
 
Tanzania tumeanza kuimba wimbo huu since africa nationalism ambayo ni miaka ya 1960s.south ni miaka ya 1990s.

MTOA MADA BADILI ANDIKA SOUTH WAMEIGA SIO TZ
 
Na itakuwaje TZ tukisema tuna hatimilki ya kiswahili na Nyinyi manyang'au mmekopi hii lugha toka kwetu.?

you just suffering fro ujamaa hangovers buddy. Lamu kenya was doing kiswahili in 1370. Tuko 2016 kaka!!!

Lamu or Lamu Town is a small town on Lamu Island, which in turn is a part of the Lamu Archipelago in Kenya. Situated 341 kilometres (212 mi) by road northeast of Mombasa that ends at Mokowe Jetty from where the sea channel has to be crossed to reach Lamu Island. It is the headquarters of Lamu County and a UNESCO World Heritage site. Lamu is Kenya's oldest continually inhabited town, and was one of the original Swahili settlements along coastal East Africa, founded in 1370.

The town contains the Lamu Fort on the seafront, which commenced construction under Fumo Madi ibn Abi Bakr, the sultan of Pate, and was completed after his death in the early 1820s. Lamu is also home to 23 mosques, including the Riyadha Mosque, built in 1900, and a donkey sanctuary. WIKIPEDIA
 
Hii ni Katiba yetu:-

3.-(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na
ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.
(2) Mambo yote yahusuyo uandikishaji na uendeshaji
wa vyama vya siasa nchini yatasimamiwa kwa mujibu wa
masharti ya Katiba hii na ya sheria iliyotungwa na Bunge kwa
ajili hiyo.
 
Watu wanakuja tu from no where wanatoa maneno ya ajabu ajabu. Kenya haina historia yoyote katika ukombozi wa africa na maendeleo yake. Kenya wamekuwa vibaraka wakitumiwa ili wazungu waendelee kuikandamiza Africa.
Sisi Tanzani tumepambana sana kwa wajiri ya kuwakomboa waafrica wenzetu.
Ndio maana huko Somalia ugomvi hauishi hawa wenzetu wanatumia kwaajiri ya kuwatesa waafirca wenzao. Wamejaa umimi na usaliti wa hali ya juu.
The Front Line States: The Realities in Southern Africa

Hebu angalia maneno yaliyopo kwenye court of arm kati ya nchi za Africa utaona kenya wapo tofauti kabisa:-

View attachment 388125
Hii ni ya Kenya angalia walivyotofauti na sisi
View attachment 388126 View attachment 388127 View attachment 388128 View attachment 388129 View attachment 388130

Your post just shows you are kings of copy and paste. uvivu wa kufikiria na ufukara wakubuni!! you cant come up with a original national anthem. coat of arms mnaomba ya jirani and change here and there!!!
 
Hii ni Katiba yetu:-

3.-(1) Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na
ya kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vya siasa.
(2) Mambo yote yahusuyo uandikishaji na uendeshaji
wa vyama vya siasa nchini yatasimamiwa kwa mujibu wa
masharti ya Katiba hii na ya sheria iliyotungwa na Bunge kwa
ajili hiyo.

So what!!!

Lamu or Lamu Town is a small town on Lamu Island, which in turn is a part of the Lamu Archipelago in Kenya. Situated 341 kilometres (212 mi) by road northeast of Mombasa that ends at Mokowe Jetty from where the sea channel has to be crossed to reach Lamu Island. It is the headquarters of Lamu County and a UNESCO World Heritage site. Lamu is Kenya's oldest continually inhabited town, and was one of the original Swahili settlements along coastal East Africa, founded in 1370. wikipedia
 
Your post just shows you are kings of copy and paste. uvivu wa kufikiria na ufukara wakubuni!! you cant come up with a original national anthem. coat of arms mnaomba ya jirani and change here and there!!!
Hiyo ndio Court of Army ya Kenya uongo?
 
Back
Top Bottom