financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Yani Unataman kumnyonga, lakini hapo hapo hutaki kumbadilisha .Huyu bi dada kuna kipindi huwa natamani hata kumnyonga ila sipo tayari kumbadilisha na yeyote yule.
Katika kila maudhi yake kuna uvumilivu na kujitoa kwa hali ya juu kulikonifikisha hapa nilipo.
Mke wangu ni mke sahihi kwangu.
Nitaoa mchepuko aiseeHappy sunday to everyone!
For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.
Swahili Version:
kwa wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? japokua binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa,kuolewa tena je utamchagua mtu huyu huyu ulienaye sahivi?
Have a nice sunday's evening.
The beauty of imperfection. Kama anavyoweza kuniudhi basi ana uwezo huo huo wa kunipa faraja ya hali ya juu.Yani Unataman kumnyonga, lakini hapo hapo hutaki kumbadilisha .
HongeraHuyu bi dada kuna kipindi huwa natamani hata kumnyonga ila sipo tayari kumbadilisha na yeyote yule.
Katika kila maudhi yake kuna uvumilivu na kujitoa kwa hali ya juu alikonifanyia kulikonifikisha hapa nilipo.
Mke wangu ni mke sahihi kwangu.
Poa poa mkuu.The beauty of imperfection. Kama anavyoweza kuniudhi basi ana uwezo huo huo wa kunipa faraja ya hali ya juu.
Hakuna mahusiano yanayokosa kero na maudhi.
Kusema natamani kumnyonga ni figure of speech sio literary.
Or the right person at the wrong time and vice versaYou can either marry a right person at a wrong place or a wrong person at a right place.
Kataa ndoa.ππNimeoa BabyCare CareSons Touch of Class, ndoa ina miaka 2 sasa, sijutii kumuoa as ananitimizia mahitaji yote ya kimwili
NAKAZIAKataa ndoa.ππ
Ushaanza kuharibu nyuzi za watu ππNAKAZIA
Jibuni kwa kingereza basi ππ