Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Biblia imeandika Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu, Upendo hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote (1 Wakorinto 13: 4-7). .Maisha ya ndoa ni kitendawili kibubu sana ....watu 2 wanalelewa tofauti wanajuana ukubwani then wachangamane ....kuna maridhiano mengi sana hapo na kujishusha...kunifunza tabia mwenzako.....kuvumuliana kuchukuliana......over the time......mnaweza kuendana ....baada hapo sasa akili kichwani uache ulipozoea kuanza upya process the same wanawake wote wako sawa .....watataka akutulize kama mtoto wake