financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #361
Sawa baba endeleza mapambano mpaka maji yaitwe mma😀Sasa bila mbususu dunia ina raha gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa baba endeleza mapambano mpaka maji yaitwe mma😀Sasa bila mbususu dunia ina raha gani
Kitu ambacho nadhani hunawahi kuwaza ni kuwa "inawezekana huyo uliyenae ndio Mungu kakupangia"Hongera sana mkuu. Nimetamani sana mnavyoinjoi wewe na mkeo. Married for 5 years now, ila miezi niliyofurahia ndoa inaweza kuwa 8 kati ya hiyo miezi 60.
Mke mwema atoka kwa Bwana, apatae mke ajipatia kibali kwa Bwana. Ndio maana kama wewe unasema mna mafanikio makubwa sana. Ukiona mambo yako ya maisha hayafanikiwi na umeoa, ni dalili kuwa ulioa mke asiyekuwa mwema. Utasuffer sana
Hapa ni Tanzania mkuu, hizi mambo mfanyie mwanamke wa ughaibuni.Kitu ambacho nadhani hunawahi kuwaza ni kuwa "inawezekana huyo uliyenae ndio Mungu kakupangia"
Ushauri wangu
1. Ukiwa kwenye relationship mpende mwenzio bila mipaka, usitake kushindana nae wewe mwonyeshe upendo. Do your part ya kwakwe hata akiifeli wewe do your part. Haya mambo sijui kaniuzi nanuna achana nayo kabisa hayana maana kwa sababu hata unakuta unanuna siku mbili ya tatu unaongea nae such a waste of time. .
2. Mfanye asiweze kuishi bila wewe. Hapa wengi wanakwama. Unajua kwa nini watu wanajutia kuachwa mda mwingine? wewe mfanyie mazuri mengi kutoka moyoni hata ashindwe kuishi bila wewe. .
3. Jifunze sana kumshirikisha na kuheshimu mawazo yake. Sisi hutokea kwenye background tofauti. Hivyo kila mtu huwa na tabia yake na asili tofauti. Usilazimishe uliyoishi na wazazi wako basi ukaleta nyumbani. amI have a friend who take the remote with him to work hataki mke wake anangalie TV mchana😀 basi tu anafanya aonekane baba. .
4. Unatakiwa pia kuwapenda ndugu zake na familia yake. Jifunze pia kumgawana upendo ule hata kwa ndugu zake. Ndoa ni baina gmya familia moja na nyingine even tho nowadays ndoa imekuwa ya watu wawili. Kuwa karibu na ndugu na familia yake pia. .
5. Mjifunze kuomba au kusali pamoja. Familia ambayo ina hofu ya Mungu haiwezi kuwa na makandokando ya ajabu. Unakuta hata mwenza mmoja anamuua mwenzake kwa sababu hawana upendo wa Mungu. .
Jaribu kuwa chanya na unaweza ukamuambukiza mwenzako. Wako wengi walianzq vibaya ila wakaja pata faraja ya kipekee. In 100 years to come you and your spouse would be history. If you remember that hata kugombana it's not worthy it jenga hadithi nzuri kuhusu maisha yenu. .
😄😄 niache kwanzaEbu wee tuambie aliyekuoa vipi? Utambwaga ili upate better man?
Aah basi mimi nahitaji huyo caring man, mambo ya ugomvi na kuteswa tena? HapanaHapa ni Tanzania mkuu, hizi mambo mfanyie mwanamke wa ughaibuni.
Ukiwa too caring man, mwanamke wako atakuchoka, ukiwa kila muda unataka mpenz wako awe happy sijui kuhakikisha kala, kavaa vizuri , kila tatizo lake unasolve on time. Ukifanya hayo jiandae kupigwa na kitu kizito ndgu.
Atakuona wa kawaida, wewe na yeye ni sawa tu, huna maamuzi juu yake, hufurukuti. Utajikuta unaachana na wengi kumbe ni vile tu huchezi na akili zao fresh.
Kuteswa kidogo, viugomvi vya hapa na pale ndo kitu wanapenda hawa watu.
Nahisi nilitamani kupata +ve vibes ili itupe matumaini tunaotamani kuingia huko😀 ila hata -ve pia zinatufundisha ni wapi palipokosewa ili tusirudie makosaWe umeanzisha uzi afu tayari ushachagua upande 😁🤸♀🙆♀️
Hakuna mwanamke anaesema hataki cating man wote mnataka tuwe hivyo na mwanzoni huwa mnafurahia.Aah basi mimi nahitaji huyo caring man, mambo ya ugomvi na kuteswa tena? Hapana
Wachawi na washirikina huwa hajali haya mkuu. Biblia haikuosea ilivyosema usimwache mwanamke mchawi aishi. Wanatesa sana.Kitu ambacho nadhani hunawahi kuwaza ni kuwa "inawezekana huyo uliyenae ndio Mungu kakupangia"
Ushauri wangu
1. Ukiwa kwenye relationship mpende mwenzio bila mipaka, usitake kushindana nae wewe mwonyeshe upendo. Do your part ya kwakwe hata akiifeli wewe do your part. Haya mambo sijui kaniuzi nanuna achana nayo kabisa hayana maana kwa sababu hata unakuta unanuna siku mbili ya tatu unaongea nae such a waste of time. .
2. Mfanye asiweze kuishi bila wewe. Hapa wengi wanakwama. Unajua kwa nini watu wanajutia kuachwa mda mwingine? wewe mfanyie mazuri mengi kutoka moyoni hata ashindwe kuishi bila wewe. .
3. Jifunze sana kumshirikisha na kuheshimu mawazo yake. Sisi hutokea kwenye background tofauti. Hivyo kila mtu huwa na tabia yake na asili tofauti. Usilazimishe uliyoishi na wazazi wako basi ukaleta nyumbani. amI have a friend who take the remote with him to work hataki mke wake anangalie TV mchana😀 basi tu anafanya aonekane baba. .
4. Unatakiwa pia kuwapenda ndugu zake na familia yake. Jifunze pia kumgawana upendo ule hata kwa ndugu zake. Ndoa ni baina gmya familia moja na nyingine even tho nowadays ndoa imekuwa ya watu wawili. Kuwa karibu na ndugu na familia yake pia. .
5. Mjifunze kuomba au kusali pamoja. Familia ambayo ina hofu ya Mungu haiwezi kuwa na makandokando ya ajabu. Unakuta hata mwenza mmoja anamuua mwenzake kwa sababu hawana upendo wa Mungu. .
Jaribu kuwa chanya na unaweza ukamuambukiza mwenzako. Wako wengi walianzq vibaya ila wakaja pata faraja ya kipekee. In 100 years to come you and your spouse would be history. If you remember that hata kugombana it's not worthy it jenga hadithi nzuri kuhusu maisha yenu. .
Hivi kuna mtu anahitaji raha na care ipungue tuanze kugombana? Duh mimi napenda mwanzo mwisho iwe raha tupu, sijui labda sababu sina experience ya ndoa.Hakuna mwanamke anaesema hataki cating man wote mnataka tuwe hivyo na mwanzoni huwa mnafurahia.
Ila itafika time utamchoka huyo mtu, na omba jamaa kipato kisishuke maana utamchukia kuliko.
Hawana fedha za kuhendo ndoaTo answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together [emoji4]
I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .
Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .
Huwez kataa ndoa halafu hukatai mbususu. Maana hawa wanawake hawafai kiasi kwamba hawawaoi basi wagomee na kula mbususu 😬😀😀 such a stupid campaignHawana fedha za kuhendo ndoa
Kabsa[emoji119] but kwa utafiti kidogo tu kupitia koment za member wengi ktk huu uzi inaonyesha asilimia kubwa wanapenda ndoa zao.... read againHuwez kataa ndoa halafu hukatai mbususu. Maana hawa wanawake hawafai kiasi kwamba hawawaoi basi wagomee na kula mbususu [emoji51][emoji3][emoji3] such a stupid campaign
Daah hakika hutokosa la kujifunzaNaendelea kusoma comments
Kwenye ndoa watu wanataka kushindana. Nimeona ndoa nyingi zenye shida unakuta hakuna mawasiliano mazuri, hawaheshimiani, kutokua majukumu na kukosa vision moja. Unakuta hata katika malezi wazazi wanalea tofauti wakati watoto ni wao. .Kabsa[emoji119] but kwa utafiti kidogo tu kupitia koment za member wengi ktk huu uzi inaonyesha asilimia kubwa wanapenda ndoa zao.... read again
Consequence yake tunapata generation mbovu isiyo na maadaliKwenye ndoa watu wanataka kushindana. Nimeona ndoa nyingi zenye shida unakuta hakuna mawasiliano mazuri, hawaheshimiani, kutokua majukumu na kukosa vision moja. Unakuta hata katika malezi wazazi wanalea tofauti wakati watoto ni wao. .
Hata humu jf baadhi yenu husema wazi hawaelewi wanatakaga nini.Hivi kuna mtu anahitaji raha na care ipungue tuanze kugombana? Duh mimi napenda mwanzo mwisho iwe raha tupu, sijui labda sababu sina experience ya ndoa.
Kuhusu pesa kuna kupanda na kushuka kama mlikua vizuri kiuchumi na ikatokea mwenzako kaishiwa why usimvulie na kumpa moyo?🤔
Love has power beyond our own thinking. Because of Love God has for us, he offered His own son to die for our sins. The Love Jesus has for us He died for our sins. Love is beyond our comprehension. Ndio maana unaweza kuwa na ndugu zako wa kuzaliwa na ukawa na rafiki wa kukutana na ukampenda sana zaid rafiki (Upendo). .Maisha ya ndoa ni kitendawili kibubu sana ....watu 2 wanalelewa tofauti wanajuana ukubwani then wachangamane ....kuna maridhiano mengi sana hapo na kujishusha...kunifunza tabia mwenzako.....kuvumuliana kuchukuliana......over the time......mnaweza kuendana ....baada hapo sasa akili kichwani uache ulipozoea kuanza upya process the same wanawake wote wako sawa .....watataka akutulize kama mtoto wake