Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Happy Sunday to everyone!

For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.

Swahili Version:
kwa wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? japokua binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa,kuolewa tena je utamchagua mtu huyu huyu ulienaye sahivi?

Have a nice sunday's evening.

Swahiba wangu kinoma hana baya na mtu! Nitamuoa tena na tena, ananimudu na ninammudu!!

Huwa akiwahi kutoka kazini atanitafuta twende wote, nikiwahi mie nitamtafuta tuondoke wote kwenda home na mengi mengi mazuri, nitake nini tena mie!

Nitamuoa tena na tena na tena na ningekuwa na uhakika yupo hivi ningeongeza mahari!!
 
Huyu bi dada kuna kipindi huwa natamani hata kumnyonga ila sipo tayari kumbadilisha na yeyote yule.

Katika kila maudhi yake kuna uvumilivu na kujitoa kwa hali ya juu alikonifanyia kulikonifikisha hapa nilipo.

Mke wangu ni mke sahihi kwangu.

Kabla wajuaji wa kusema nisubiri nitaona basi waelewe naelekea mwaka wa 17 katika ndoa sasa. Nishayaona yote.
Fot better for worse, 17yrs and still counting safi sana mkuu and thank you for sharing.
 
financial services kwa kweli kitambo tunapishana humu ndani

Sidhani kama moyo wangu utakuja penda mwanamke kama ninavyompenda mke wangu. Not only that she is a friend but my best friend. Watu wakituona tunavyotaniana huwa wanashangaa sana na wengi wanatuomea wivu sana. .

Nakumbuka nishawahi enda nae Lugoba halmashaur ya pwani (ofisi za ardhi) hapo nyuma. Hata yule jamaa afisa ardhi hakuamini kuwa ni mke wangu. Nakumbuka alisimamisha watu wote ofisini kuuliza kama hawa ni mke na mume😃 tumetokea mpaka kufanana sana. Tumekuwa kama tui la nazi na maziwa. .

Amenizawadia mtoto wa kike na sasa ni mjamzito mwezi huu atafanyiwa operation nitapata mtoto mwingine. Huu ni mwezi wa kwaresma, namshukuru sana sana sana Mungu kwa kunipatia mwanamke huyu. Ameweza kunikamilisha. .
 
Hakuna mtu sahihi ndugu, hakuna asiye na kasoro wala asie na udhuru.
Kama ikitokea siku zirudi nyuma nianze tena kuchagua itafika wakati huyo nitakae mchagua mpya nae nita wish kumbadilisha tena.
Kuvumilia na kuridhika na kukubali lililotokea limeshatokea ni heri zaidi
Ni kweli na ndiyo maana nimesema "despite of human imperfections " bado kuna mazuri katika huo upungufu.
 
Fot better for worse, 17yrs and still counting safi sana mkuu and thank you for sharing.
One thing in life, there is never a right or perfect partner. It's all about having someone that you can tolerate each other's imperfections and appreciate the little perks that life offers you.
In the long run every tiny joy you share amounts to a whole life time of bliss over coming every bullshit experienced along the way.
 
financial services kwa kweli kitambo tunapishana humu ndani

Sidhani kama moyo wangu utakuja penda mwanamke kama ninavyompenda mke wangu. Not only that she is a friend but my best friend. Watu wakituona tunavyotaniana huwa wanashangaa sana na wengi wanatuomea wivu sana. .

Nakumbuka nishawahi enda nae Lugoba halmashaur ya pwani (ofisi za ardhi) hapo nyuma. Hata yule jamaa afisa ardhi hakuamini kuwa ni mke wangu. Nakumbuka alisimamisha watu wote ofisini kuuliza kama hawa ni mke na mume😃 nimetokea mpaka tumefanana sana. Tumekuwa kama tui na nazi. .

Amenizawadia mtoto wa kike na sasa ni mjamzito mwezi huu atafanyiwa operation nitapata mtoto mwingine. Huu ni mwezi wa kwaresma, namshukuru sana sana sana Mungu kwa kunipatia mwanamke huyu. Ameweza kunikamilisha. .
Ooh this is nice, hongereni sana hadi mnafanana huko ni kushibana haswa👍
 
Ooh this is nice, hongereni sana hadi mnafanana huko ni kushibana haswa👍
To answer your question yes I Will still marry her.
Sijawahi msaliti wala kutembea na wanawake wengine. Amekuwa mshahuri wangu mkubwa n hata tumepata maendeleo makubwa sana. 9 years together 😊

I am 32 years old now, she is 29 years old this month. Ushauri wangu vijana wajifunze kufurahi pamoja. Yani naweza enda hata posta nikatamani kula nyama choma ugali ila siwezi kula mwenyewe nitakula kwa shida sana. Nikirudi na msosi (take away) basi tukala mezani nitafarijika sana. .

Nashangaa sana hawa watu na kampeni ya kataa ndoa. Nawaza tu wanakumbwa na vitu gani. .
 
Back
Top Bottom