KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,540
Oooza mr [emoji383]Nimeoa BabyCare CareSons Touch of Class, ndoa ina miaka 2 sasa, sijutii kumuoa as ananitimizia mahitaji yote ya kimwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooza mr [emoji383]Nimeoa BabyCare CareSons Touch of Class, ndoa ina miaka 2 sasa, sijutii kumuoa as ananitimizia mahitaji yote ya kimwili
mr money in the bank - MITBOooza mr [emoji383]
Sijaelewa😀Ai hev not marid bat iven if i did ail kontinyo tu chuz ze aza andi ze aza wan agen 🍻
Happy Sunday to everyone!
For all who are in marriage, both men and women, despite of human imperfections, did you marry the right person? if we could turn back time, would you still choose the same person you are married to now? and why? kindly share your observations, we might learn something important from it.
Swahili Version:
kwa wanandoa, je umeoa/umeolewa na mtu sahihi? japokua binadamu tunamapungufu, je muda ukirudishwa nyuma ikawa kama ndiyo ile siku ya kufanya uamuzi wa kuoa,kuolewa tena je utamchagua mtu huyu huyu ulienaye sahivi?
Have a nice sunday's evening.
Sure and it's just an imagination question.The thing is, we can't turn back the hands of times. So, we're rolling with the decision we made. Bittersweet and that's life for you.
😀😀 haiwezi kunitisha, itanisaidia tu kuchukua tahadhari mapemaChonde chonde nawasisitiza mtakaokuja kuchangia. Comments ziwe fupi fupi, mleta mada bado hajaolewa, sasa angalieni msije kumtisha
Nyoosha maneno mkuu tukuelewe na tujifunze kupitia wewe 🤭Ai hev not marid bat iven if i did ail kontinyo tu chuz ze aza andi ze aza wan agen 🍻
Kuna watu wamekutwa na mbanga sio za nchi hii. Ukizisikia, hadi vinyweleo vinasimama 😅😀😀 haiwezi kunitisha, itanisaidia tu kuchukua tahadhari mapema
Duh haya bana, thank you for your commentNimeoa BabyCare CareSons Touch of Class, ndoa ina miaka 2 sasa, sijutii kumuoa as ananitimizia mahitaji yote ya kimwili
Fot better for worse, 17yrs and still counting safi sana mkuu and thank you for sharing.Huyu bi dada kuna kipindi huwa natamani hata kumnyonga ila sipo tayari kumbadilisha na yeyote yule.
Katika kila maudhi yake kuna uvumilivu na kujitoa kwa hali ya juu alikonifanyia kulikonifikisha hapa nilipo.
Mke wangu ni mke sahihi kwangu.
Kabla wajuaji wa kusema nisubiri nitaona basi waelewe naelekea mwaka wa 17 katika ndoa sasa. Nishayaona yote.
Ni kweli na ndiyo maana nimesema "despite of human imperfections " bado kuna mazuri katika huo upungufu.Hakuna mtu sahihi ndugu, hakuna asiye na kasoro wala asie na udhuru.
Kama ikitokea siku zirudi nyuma nianze tena kuchagua itafika wakati huyo nitakae mchagua mpya nae nita wish kumbadilisha tena.
Kuvumilia na kuridhika na kukubali lililotokea limeshatokea ni heri zaidi
One thing in life, there is never a right or perfect partner. It's all about having someone that you can tolerate each other's imperfections and appreciate the little perks that life offers you.Fot better for worse, 17yrs and still counting safi sana mkuu and thank you for sharing.
Haya st kayumba tupo mkuu😀YELLOW BUS UZI WENU HUU
Ooh this is nice, hongereni sana hadi mnafanana huko ni kushibana haswa👍financial services kwa kweli kitambo tunapishana humu ndani
Sidhani kama moyo wangu utakuja penda mwanamke kama ninavyompenda mke wangu. Not only that she is a friend but my best friend. Watu wakituona tunavyotaniana huwa wanashangaa sana na wengi wanatuomea wivu sana. .
Nakumbuka nishawahi enda nae Lugoba halmashaur ya pwani (ofisi za ardhi) hapo nyuma. Hata yule jamaa afisa ardhi hakuamini kuwa ni mke wangu. Nakumbuka alisimamisha watu wote ofisini kuuliza kama hawa ni mke na mume😃 nimetokea mpaka tumefanana sana. Tumekuwa kama tui na nazi. .
Amenizawadia mtoto wa kike na sasa ni mjamzito mwezi huu atafanyiwa operation nitapata mtoto mwingine. Huu ni mwezi wa kwaresma, namshukuru sana sana sana Mungu kwa kunipatia mwanamke huyu. Ameweza kunikamilisha. .
Kabisaa maana kuanza upya ni shida hadi kuzoeana tenaZimwi likujualo halikuli likakwisha
To answer your question yes I Will still marry her.Ooh this is nice, hongereni sana hadi mnafanana huko ni kushibana haswa👍