Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3 years bado hamjashibana sana. Ila ni mwanzo mzuri...3years.
Tutayajenga ,ngoja nisome comments labda yaani labda zitanisaidia kubadili msimamo.Ooh ila umeona comments za watu wanavyoenjoy na ndoa zao? Soon utatengua kauli ya kukataa ndoa
Zinatupa moyo kiukweli, kumbe ndoa bado ni raha tu, ngoja tuwaite wakataa ndoa ebu piteni huku muone Liverpool VPNKuna shuhuda zenye kutia moyo sana humu.🙏🙏
Usinambie wewe ni mwenyekiti wa kampeni ya kataa ndoa😃Bado niponipo kwanza
Me sikatai ndoa 😀😅😀Usinambie wewe ni mwenyekiti wa kampeni ya kataa ndoa😃
😀 comments zinafariji sana, kila lakheri mkuu.......kwakuwa hadi sasa hakuna koment iliyonikatisha tamaa, basi ngoja nikaoe ili nipate uhalali wa kuchangia....
🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba sijakosea kuoa..
Ye nambari one, wewe nambari 2,3 n 4 pia sijakosea...🥰
Mzee mwenzangu,huniamini, ww ndio unaleta kiwingu,hata leo usiku naweza kuja kukuchukua KISHERIA.🤣🤣🤣🤣🤣
Huh!! Janja janja sana wewe!!
😳😳😳😳😳3 years bado hamjashibana sana. Ila ni mwanzo mzuri...
🤣🤣🤣🤣🤣Mzee mwenzangu,huniamini, ww ndio unaleta kiwingu,hata leo usiku naweza kuja kukuchukua KISHERIA.
Umeandika kwa hekima sana chief....The thing is, we can't turn back the hands of times. So, we're rolling with the decision we made. Bittersweet and that's life for you.
Kipi kina afadhili ?You can either marry a right person at a wrong place or a wrong person at a right place.
hahaha upo hadi kny ng'eng'eNimeoa BabyCare CareSons Touch of Class, ndoa ina miaka 2 sasa, sijutii kumuoa as ananitimizia mahitaji yote ya kimwili