Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Biblia imeandika Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu, Upendo hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote (1 Wakorinto 13: 4-7). .
 
Consequence yake tunapata generation mbovu isiyo na maadali
Biblia imeandika Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu, Upendo hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote (1 Wakorinto 13: 4-7). .
 
Amen
 
Aiseee!! Uliolewa na yule mchaga!!!!
 
Wewe ni wa pekee sana, sio Kwa unavyozoom
Niliweka status aliona m1 the, mimi niliepost binafsi nilikuwa sijaona.
Inabidi uwe makini sana Mkuu..
Kama utaweza weka picha ya kawaida tu.

Macho yamepitiliza hapo kwa sababu Mimi pia hupendelea kumuweka mtu wangu wallpaper Kila mahali,ila naweka picha zake za kawaida,maybe kidevu,ama mkono.

Wewe umetisha[emoji1787]
 
10 years na huyu mtoto wa Mama mkwe kila siku namuombea Mungu ampe maisha marefu sana. Sijutii kuwa nae He is full package yuko kamili gado kwenye kila idara. N.v nampenda sana Baba wawili wangu
 
Inabidi uwe makini sana Mkuu..
Kama utaweza weka picha ya kawaida tu.

Macho yamepitiliza hapo kwa sababu Mimi pia hupendelea kumuweka mtu wangu wallpaper Kila mahali,ila naweka picha zake za kawaida,maybe kidevu,ama mkono.

Wewe umetisha[emoji1787]
Hapana,,, hyo chatting sio yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…