Did you marry the right person? If asked to remarry, would you still choose the same person?

Palina ameshauri mcomment kwa kingereza. Na mm naunga mkono hoja.

Mkitumia kingereza, mayowe yatapungua, comments zitakuwa fupi fupi, mtaandika maneno muhimu tu

Maana ukiwa na jazba,misamiati ya kingereza inapotea πŸ˜…
Ni burudani yaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila mkuu wewe hujaoo mmh πŸ˜ƒπŸ˜ƒ em share na sisi your experience
 
Hakuna mtu sahihi ndugu, hakuna asiye na kasoro wala asie na udhuru.
Kama ikitokea siku zirudi nyuma nianze tena kuchagua itafika wakati huyo nitakae mchagua mpya nae nita wish kumbadilisha tena.
Kuvumilia na kuridhika na kukubali lililotokea limeshatokea ni heri zaidi
 
Zimwi likujualo halikuli likakwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…