Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM , Khadija Shaibu ' Dida' amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo .

Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden , lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za kutafuta mke bora hivyo haoni shida kumchangia .

"Ninachoamini mimi Ezden bado anasaka mke mwema na hiyo ni nzuri na wala siwezi kuwa na bifu na mtu wake yeyote atakayempata , nitapenda sana. Haya ndiyo maisha yasiyokuwa na chuki yanayotakiwa" alisema Dida.
 

Attachments

  • 1417067870829.jpg
    44.3 KB · Views: 3,642
Edzen nae sijui alimtoa wapi huyu bibi....

Walikuwa wanarusha roho watu mitandaoni kuwa hawaachani maadui wakae mbali, leo tena ndo vile ndoa kishnei, haya mapenzi ya kujidai na kujishebedua. Jide na cheusi dawa wake gadner wala walikuwa hawahangaiki na watu, wenyew walikuwa kivyao tu, sema akina mwafulan mapenzi yao wenyew fujo wanawaletea wengine
 

Edzen amuoe mbuta nanga nliona picha zake kavaa yale machupi yake makubwa lichupi limeandikwa "i love edzen"
 

Anajishaua tu huyo bibie bado anampenda sema anaogopa kusema hadharani anatumia janja ya nyani. Ye atulize tu papuchi yake maana mmmmh ingekuwa inaongea ingesema
 
dida nae kakosa la kuongea amwache kijana wa watu aoe size yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…