warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM , Khadija Shaibu ' Dida' amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo .
Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden , lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za kutafuta mke bora hivyo haoni shida kumchangia .
"Ninachoamini mimi Ezden bado anasaka mke mwema na hiyo ni nzuri na wala siwezi kuwa na bifu na mtu wake yeyote atakayempata , nitapenda sana. Haya ndiyo maisha yasiyokuwa na chuki yanayotakiwa" alisema Dida.