Binam niende Us umbea nimuachie nani mi hapahapa vumbini kuna kona nyingi za udaku,majungu,unafiki na ugomvi huko Us ntaupatia wapi umbea kila mtu yupo busy aku!!! Hiyo laana aipate lolowapi nimeridhia
Dida naye haachiMTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM , Khadija Shaibu ' Dida' amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo .
Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden , lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za kutafuta mke bora hivyo haoni shida kumchangia .
"Ninachoamini mimi Ezden bado anasaka mke mwema na hiyo ni nzuri na wala siwezi kuwa na bifu na mtu wake yeyote atakayempata , nitapenda sana. Haya ndiyo maisha yasiyokuwa na chuki yanayotakiwa" alisema Dida.
Mambo bien yekete yebo,yebo!! Tuliza kipago zay b yupo gado.KIpago ndo nini?
Hivi Zay B yupo wapi siku hizi?Mambo bien yekete yebo,yebo!! Tuliza kipago zay b yupo gado.
Sijamsoma kitambo sana Zay 2 tha B.Hivi Zay B yupo wapi siku hizi?
Vs sister PSijamsoma kitambo sana Zay 2 tha B.
WOte wapo ila ndio hivyo washapokeza vijiti.Vs sister P
Ana Sura ngumu mno. Kama hatumii ndumba basi itakua fundi sana kunako
bila shaka wewe ni mtu wa IringaDida inatakiwa atulize kipago tu umri ushaenda.
Hapana mkuu,mtu wa mbeya niliyekulia Arusha - Manyara.bila shaka wewe ni mtu wa Iringa