warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #201
Binam niende Us umbea nimuachie nani mi hapahapa vumbini kuna kona nyingi za udaku,majungu,unafiki na ugomvi huko Us ntaupatia wapi umbea kila mtu yupo busy aku!!! Hiyo laana aipate lolowapi nimeridhia
Nilitaka nishangae , nilijua umeacha umbea hvooo? Nikajiuliza huyu binamu yangu uko ulaya kaenda kufanya nini? Maana nakujua vzur huna ndugu wala bibi uko usa, kwanza unaishia kuona picha tu kwa mange kimambi
Last edited by a moderator: