Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Please nahitaji pia...angalia PM
Karma....Dida shankupe ila Moza nae mswahili mfyuuu...Ezden kadhalilika bado kidogo atenda Mwanza kwao kupumzika
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM , Khadija Shaibu Dida amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo .
Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden , lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za kutafuta mke bora hivyo haoni shida kumchangia .
Ninachoamini mimi Ezden bado anasaka mke mwema na hiyo ni nzuri na wala siwezi kuwa na bifu na mtu wake yeyote atakayempata , nitapenda sana. Haya ndiyo maisha yasiyokuwa na chuki yanayotakiwa alisema Dida.
Ila mie sijaona ubaya wa hiyo video, maana mchukuaji alijua Edzen labda ataonyesha uume wake kwa muda mrefu, matokeo yake umeonekana kiduchuuu.....Ila Kibamia
Sioni pm wala babu yake na Prime Minister
Ila huyo Moza kafanya kitu kibaya sana.....sio uungwana kumuanika mwenzie hvyi
Hivi hicho ni kibamia...?!? Duh mnatuogopesha sasa.
Hivi hicho ni kibamia...?!? Duh mnatuogopesha sasa.
Nimemuelewa mdau hapo juu aliesema katoka kuoga sasa imesinyaa thats people we think ni.kibamia....
Yeah, kawaida mashine zetu zikipigwa baridi zinanywea, nawashangaa wanaodai hiyo mashine "kibamia" inabidi wajitafakari isije ikawa wao ndo wanamirambo..hehe
Ya kawaida usiogope......ukitoka kuoga huwa inanywea sababu ya baridi lakin sio dar es salaam na hasa katika kipindi hiki
Yeah, kawaida mashine zetu zikipigwa baridi zinanywea, nawashangaa wanaodai hiyo mashine "kibamia" inabidi wajitafakari isije ikawa wao ndo wanamirambo..hehe
Haaaaaaaa mambo ya "Una rambo na mimi nina Muwa" lol
Ila kwa dida nadhani ilikua ni bamia......
Dar sehem gani? what if ni kule Kibamba? lakini pia inategemea ni wakati gani, mwangalie ye mwenyewe anaoneka kutetema kwa baridi jaman.
Nimemuelewa mdau hapo juu aliesema katoka kuoga sasa imesinyaa thats people we think ni.kibamia....
Binamu yaani hatareeeeeeee
Pazia kama mlango wa choo cha uswaz,
Binamu hebu tupia jicho juu ya dress ya TV, mbona kama kuna pazia la labour?
Afu anapenda kumechisha maana mboxer aliotoka nao bafuni ndo huo huo umefanana na anaouvaa.
au mwenzetu hapendi marangirangi?
Mwana akiwa uvinza mmamae
Dar sehem gani? what if ni kule Kibamba? lakini pia inategemea ni wakati gani, mwangalie ye mwenyewe anaoneka kutetema kwa baridi jaman.