Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times FM , Khadija Shaibu ‘ Dida’ amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi hiyo .

Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema japokuwa wameacha na Ezden , lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini kuwa yuko katika harakati za kutafuta mke bora hivyo haoni shida kumchangia .

“Ninachoamini mimi Ezden bado anasaka mke mwema na hiyo ni nzuri na wala siwezi kuwa na bifu na mtu wake yeyote atakayempata , nitapenda sana. Haya ndiyo maisha yasiyokuwa na chuki yanayotakiwa” alisema Dida.

Cheap popularity
 
Ila mie sijaona ubaya wa hiyo video, maana mchukuaji alijua Edzen labda ataonyesha uume wake kwa muda mrefu, matokeo yake umeonekana kiduchuuu.....Ila Kibamia

Huyooo jamaa anaonekana ametoka kuoga naninavyofaham unapoupa mwili ubarid Fulani lazima maungo ya mwili hasa vyombo vya uzazi kusinyaa nadhani hio dhana ya kibamia inachukuliwa pasipo ndipo! Ngoja nimuiteee aje kuthibitishaa 😂😂😂🙌🙌🙌
 
Ila huyo Moza kafanya kitu kibaya sana.....sio uungwana kumuanika mwenzie hvyi
 
warumi naungana na wewe gegedo wala sio kibamia bado halijastimuka...he he heeee Ezden karibu Daslama mana leo umebreki the intanet, ila changeni pesa mpange chumba na sebule
 
Last edited by a moderator:
Nimemuelewa mdau hapo juu aliesema katoka kuoga sasa imesinyaa thats people we think ni.kibamia....

Yeah, kawaida mashine zetu zikipigwa baridi zinanywea, nawashangaa wanaodai hiyo mashine "kibamia" inabidi wajitafakari isije ikawa wao ndo wanamirambo..hehe
 
Ya kawaida usiogope......ukitoka kuoga huwa inanywea sababu ya baridi lakin sio dar es salaam na hasa katika kipindi hiki

Dar sehem gani? what if ni kule Kibamba? lakini pia inategemea ni wakati gani, mwangalie ye mwenyewe anaoneka kutetema kwa baridi jaman.
 
Yeah, kawaida mashine zetu zikipigwa baridi zinanywea, nawashangaa wanaodai hiyo mashine "kibamia" inabidi wajitafakari isije ikawa wao ndo wanamirambo..hehe

Haaaaaaaa mambo ya "Una rambo na mimi nina Muwa" lol
Ila kwa dida nadhani ilikua ni bamia......
 
Dar sehem gani? what if ni kule Kibamba? lakini pia inategemea ni wakati gani, mwangalie ye mwenyewe anaoneka kutetema kwa baridi jaman.

Hatari.....kwa kipindi hiki hata wengine tunaoishi sehemu ambazo huwa zina baridi hakuna kitu.Halafu hicho chumba kinaonekana dhahiri kipo maeneo kama sio mwananyamala basi makumbusho ya kati kati.
 
Nimemuelewa mdau hapo juu aliesema katoka kuoga sasa imesinyaa thats people we think ni.kibamia....

Wa2 wana mambo nimeona wamempiga picha le mbululazz anakojoa kwenye mti wakasema jinga sana hili ingekua ucku lingejisaidia haja kubwa hpo,kweli ukicheza n watoto wanakuaibisha
 
Binamu yaani hatareeeeeeee
Pazia kama mlango wa choo cha uswaz,
Binamu hebu tupia jicho juu ya dress ya TV, mbona kama kuna pazia la labour?
Afu anapenda kumechisha maana mboxer aliotoka nao bafuni ndo huo huo umefanana na anaouvaa.
au mwenzetu hapendi marangirangi?

Mwana akiwa uvinza mmamae
 

Attachments

  • 1426016552787.jpg
    1426016552787.jpg
    57.2 KB · Views: 459
Back
Top Bottom