tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Toa ya moyoni binamu tapikaaaaa mie siyajui hvooo? Ndo maana dida kamkimbiaaa, si atumie Viagra jamani? Kile chumba jaman wameshindwa ata kwenda guest za sinza za elfu 20? Khaaaa atapata vichambo Leo mpaka azimie maninaaa
Tatizo nyota hela imekua ngumu kwa marioo wote,binamu hiyo clip iko blog gani
Binamu yaani hatareeeeeeee
Pazia kama mlango wa choo cha uswaz,
Binamu hebu tupia jicho juu ya dress ya TV, mbona kama kuna pazia la labour?
Afu anapenda kumechisha maana mboxer aliotoka nao bafuni ndo huo huo umefanana na anaouvaa.
au mwenzetu hapendi marangirangi?
Madame b hiyo clip iko blog gani mbna hamsomeki pia nimeona picha y banza inatia huruma sana cjui nini kinamsibu mwana masanja
Wa2 wana mambo nimeona wamempiga picha le mbululazz anakojoa kwenye mti wakasema jinga sana hili ingekua ucku lingejisaidia haja kubwa hpo,kweli ukicheza n watoto wanakuaibisha
Hahahaaaa tena wamesema ule mnazi aloumwagilia kojo umekaukaaa...hahahaaa
mmmh ni edzen.huyu???ha ha ha kudaadeki jamaa anajilia chumvi sukari kawaachia nyuki
Mmbeya mkuu naona wamemrestisha in peace tena dougiemasta 16
Huu ni umbea mwingine mbichiiiiii
Ngoja tuutafutie ubuyu
Mmbeya mkuu naona wamemrestisha in peace tena dougiemasta 16
karudi mkuu anatumia dougiemasta19
Nampa pole edzen kwa jinsi navyomjua dougiemasta lazima atafungua mengi sana ya edzennimeona mkuu......yaaan kazi ipo looooh.....yetu majicho
Nampa pole edzen kwa jinsi navyomjua dougiemasta lazima atafungua mengi sana ya edzen
Jamani hiyo video iwekeni kule ukubwani