Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Toa ya moyoni binamu tapikaaaaa mie siyajui hvooo? Ndo maana dida kamkimbiaaa, si atumie Viagra jamani? Kile chumba jaman wameshindwa ata kwenda guest za sinza za elfu 20? Khaaaa atapata vichambo Leo mpaka azimie maninaaa

Tatizo nyota hela imekua ngumu kwa marioo wote,binamu hiyo clip iko blog gani
 
Binamu yaani hatareeeeeeee
Pazia kama mlango wa choo cha uswaz,
Binamu hebu tupia jicho juu ya dress ya TV, mbona kama kuna pazia la labour?
Afu anapenda kumechisha maana mboxer aliotoka nao bafuni ndo huo huo umefanana na anaouvaa.
au mwenzetu hapendi marangirangi?

Madame b hiyo clip iko blog gani mbna hamsomeki pia nimeona picha y banza inatia huruma sana cjui nini kinamsibu mwana masanja
 

Attachments

  • 1426018412966.jpg
    1426018412966.jpg
    55.5 KB · Views: 445
Wa2 wana mambo nimeona wamempiga picha le mbululazz anakojoa kwenye mti wakasema jinga sana hili ingekua ucku lingejisaidia haja kubwa hpo,kweli ukicheza n watoto wanakuaibisha

Hahahaaaa tena wamesema ule mnazi aloumwagilia kojo umekaukaaa...hahahaaa
 
Mmbeya mkuu naona wamemrestisha in peace tena dougiemasta 16
 
Duu aisee jamaa kadhalilishwa hadi nime muonea huruma! nina cho jiuliza kwanini watu wanafikia kufanyiana hivi? Huyu jamaa hawezi kuwa sawa tena ni aibu sana walicho mfanyia hakika halafu ni mtangazaji!
 
Back
Top Bottom