Dida: Edzen akioa, nitakuwa wa kwanza kumchangia

Duu aisee jamaa kadhalilishwa hadi nime muonea huruma! nina cho jiuliza kwanini watu wanafikia kufanyiana hivi? Huyu jamaa hawezi kuwa sawa tena ni aibu sana walicho mfanyia hakika halafu ni mtangazaji!

Ndo maisha aliyochagua....

Ukiwa mpuuzi utaishi na wapuuzi na utafanyiwa upuuzi....

Jamaa anajifanya mjanja kumbe ana life la kishenzi Sana!!!!
 
Duh kweli kwa Hali hii marambow wako wengi humu hehe wanalia kibamia kama hawajui kitu zikiwa zime rest in peace zinakua vipi au mda wanaovuliwa boxa ni pale wanapolambwa jamaa kaamka
 
Wa2 wana mambo nimeona wamempiga picha le mbululazz anakojoa kwenye mti wakasema jinga sana hili ingekua ucku lingejisaidia haja kubwa hpo,kweli ukicheza n watoto wanakuaibisha

Haaaaaa hiyo picha mbona ya mda... watu hatari kwa kuchukua matukio aiseee
 
Duu aisee jamaa kadhalilishwa hadi nime muonea huruma! nina cho jiuliza kwanini watu wanafikia kufanyiana hivi? Huyu jamaa hawezi kuwa sawa tena ni aibu sana walicho mfanyia hakika halafu ni mtangazaji!

Mdada alikua anafanya ku revenge.... maana Edzen alikua anampa kichapo cha nguvu.. halafu akawa hataki awaambie watu kama ni wapenzi, halafu full kuchepuka na mimama.. then mwisho wa siku anakuja kulala kwa bidada na kula huko.. akiulizwa kichapo ndio akaamua kama mbwai na iwe mbwai..
 
Hajadhalilishwa...

Duu aisee jamaa kadhalilishwa hadi nime muonea huruma! nina cho jiuliza kwanini watu wanafikia kufanyiana hivi? Huyu jamaa hawezi kuwa sawa tena ni aibu sana walicho mfanyia hakika halafu ni mtangazaji!

........Kajidhalilisha
 
Haaaaaa hiyo picha mbona ya mda... watu hatari kwa kuchukua matukio aiseee

Huyu moza ndio dem wke?mana kma unamwona m2 kwako mzigo c unautua chini cz mpnz hayalazmishwi c kumpiga m2 picha n kumdhalalisha wengne ni washari unaweza tumiwa wa2 wakala 0714 n ukarekodiwa vilevile
 
Yaani kamdhalilisha sana....sio kitu kizuri alichokifanya.Ukiona mtu ni mzigo fukuza.Kwa hili naona kabisa jamaa atafanya revenge.
 
Edzen nae sijui alimtoa wapi huyu bibi....
Can u believe kwamba miaka yote hii nilikuwa sijafahamu kwamba huyo Edzen wa Didah ni huyu mshikaji... sasa kuna mahali nimekuta habari few minutes ago kuhusu Edzen na Didah na nikaona pic ya Edzen... nikasema haiwezekani, labda Dida wa Edzen huyu ni mwingine na Edzen wa Dida yule niliyekuwa namfahamu ni mwingine ndo nikalazimika kuufungua huu uzi ambao tangu kufunguliwa kwake nilikuwa naupita tu! mnh! Yaani watu wana mioyo migumu...
 
Ndo matatizo ya kuanza kuonjeshwa tupu za ma-house girl wakati wakiwa vitoto hadi wanakuwa addicted na waliowazidi umri... huyo Dida mwenyewe kwa mtu kama Edzen ni kama sugar mummy wake kumbe jamaa ndo zake!!!
 
Yaani kamdhalilisha sana....sio kitu kizuri alichokifanya.Ukiona mtu ni mzigo fukuza.Kwa hili naona kabisa jamaa atafanya revenge.

Ndio mabinti w cku hizi kichwani kumejaa ujinga 2 kma mtu akufai mwambie ukweli,cyo m2 unamdhalalisha n kutafuta uadui ingekua mimi ninge revenge kwa gharama yeyote ile.istoshe huyo kijana atulie n kujenga maisha yke hao watoto w kino hawamfai
 
Duu huyo ni kama mjane sasa ingawa hajafiwa na mme maana ni mamaaaa.
Nae atafute wazee wenzie hawa vijana wabongo freva watamtumia sana wamwache atafute wazee ajitulize nao
 
Mbona naona kama yule Dada ndo kajichafua nae!!
Dada smart nje, huko ndani sasa unadhani getho la mvuta bangi
 
Ndio mabinti w cku hizi kichwani kumejaa ujinga 2 kma mtu akufai mwambie ukweli,cyo m2 unamdhalalisha n kutafuta uadui ingekua mimi ninge revenge kwa gharama yeyote ile.istoshe huyo kijana atulie n kujenga maisha yke hao watoto w kino hawamfai

Akome nae udananda.....mjini hapa atapalamiwa.Yeye anashindwa hata kupanda chumba?au anajenga mwenzetu maana loooh
 
Hivi jamamni Ezden kashindwa hata kurent chumba kimoja na sebule jamani,mpaka kwenda kuishi kwa MOZA chumba kimoja wala hakina hadhi,kwani watangazaji wanalipwa ngapi?Aisee mwanaume wa hivi ni first grade mbulura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…