Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Duu aisee jamaa kadhalilishwa hadi nime muonea huruma! nina cho jiuliza kwanini watu wanafikia kufanyiana hivi? Huyu jamaa hawezi kuwa sawa tena ni aibu sana walicho mfanyia hakika halafu ni mtangazaji!
Ndo maisha aliyochagua....
Ukiwa mpuuzi utaishi na wapuuzi na utafanyiwa upuuzi....
Jamaa anajifanya mjanja kumbe ana life la kishenzi Sana!!!!