tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Akome nae udananda.....mjini hapa atapalamiwa.Yeye anashindwa hata kupanda chumba?au anajenga mwenzetu maana loooh
Dida ni shida ,
Can u believe kwamba miaka yote hii nilikuwa sijafahamu kwamba huyo Edzen wa Didah ni huyu mshikaji... sasa kuna mahali nimekuta habari few minutes ago kuhusu Edzen na Didah na nikaona pic ya Edzen... nikasema haiwezekani, labda Dida wa Edzen huyu ni mwingine na Edzen wa Dida yule niliyekuwa namfahamu ni mwingine ndo nikalazimika kuufungua huu uzi ambao tangu kufunguliwa kwake nilikuwa naupita tu! mnh! Yaani watu wana mioyo migumu...
Hivi jamamni Ezden kashindwa hata kurent chumba kimoja na sebule jamani,mpaka kwenda kuishi kwa MOZA chumba kimoja wala hakina hadhi,kwani watangazaji wanalipwa ngapi?Aisee mwanaume wa hivi ni first grade mbulura
...si ndio masistaduu wa mjini hao...kwenye keyboard kelele nyingi...kumbe wanalala stoo...btw mambo vipi lknyaani ni shida............., chumba kile kama stoo.. sijui ataenda kukaa wapi sa hivi
Ila edzen nae atakuwa ana mguu Wa mtoto , pale tu mtarimbo haujasimama upo Vile ukisimama cjui itakuwaje, ndo maana wakina dida wanadata aaaaaaa
...si ndio masistaduu wa mjini hao...kwenye keyboard kelele nyingi...kumbe wanalala stoo...btw mambo vipi lkn
Mie mzima wewe je?!?.. napita Hill park leo
Ha ha ha Hill park.....umenikumbusha mbali aiseee.Enzi zangu za kichuo nilikuwa naenda hill park.Aliyekuwa ana run pale Mr Milanzi my classmate
Yaani... siku hizi kumepoa... napitaga jion mara moja moja kuchukua chakula cha jion.. take away... supermarket nayo imefungwa..
Mmiliki alikua mwanafunzi.. ndio anamiliki hadi siku hizi
Yaani... siku hizi kumepoa... napitaga jion mara moja moja kuchukua chakula cha jion.. take away... supermarket nayo imefungwa..
Mmiliki alikua mwanafunzi.. ndio anamiliki hadi siku hizi
Jaman ndo maongez gan hayo? Wengine ata o level hatujamaliza ebu rudini kwenye topiki pliiiizzz
Hivi Moza yuko kituo gani cha polisi?
Nataka asubuhi nikampelekee chai
Umbea tu hebu lala uliwe
Muache binamu yangu ajiachie bhana, watu wanapiga umbea hadi makaburini sembuse labor? AhahHH ila binamu katishaaaa nimempenda bureee
Yaani kamdhalilisha sana....sio kitu kizuri alichokifanya.Ukiona mtu ni mzigo fukuza.Kwa hili naona kabisa jamaa atafanya revenge.