Dida kufunga ndoa tena?

Majuzi nilimuona airport alikuwa anamsindikiza jamaa fulani hivi sijui ndo mme mtarajiwa maana kila saa walikuwa wanakumbatiana.Sasa hicho kivazi cha dida mapaja yote nje aisee havutii wala nini sijui ana weupe wa mkorogo?

Na anavyopenda vinguo vya kubana, uko nyuma sasa kama kikapu cha mwanasesele
 
We nawe utasimamisha nini sasa? Mguu au?
Hebu acha kunichekeshaaa...

Yan binamu yangu Dinazarde alivyokuwa mpana yan anataka awe na kituntuni na abdala msogot kwa wakat mmoja, mmh anayaweza kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Duh..huyu kiboko, kaachwa juzi tu leo anataka kuolewa tena...

Ila kuna wanaume wana roho ngumu zao....

Dida ana bahat ya ndoa nyie, yan ndoa tatu na bado anataka kuolewa tena wakat kuna watu wanataman ata wafanyiwe kitchen party ila hawapat hyo bahat, we muache tu mungu atamchoma
 
Hahahaa!chezea Dida wewe!mwenzenu anasololea ndoa ya nne wangine hata kutambulishwa ukweni ndoto na kupiga kote uchumba miaka minne kweli dunia haina usawa.

Dida sio mtu mzur, akina mwafulan humu jf kutwa wanalilia bahat ata ya kuolewa na send off ila hawaipat ye anachezea tu mashela ya harusi mmh watu wana mmind kidizain
 
Dida ana bahat ya ndoa nyie, yan ndoa tatu na bado anataka kuolewa tena wakat kuna watu wanataman ata wafanyiwe kitchen party ila hawapat hyo bahat, we muache tu mungu atamchoma

Duh...kweli life is not fair...halafu talaka huwa anazidai mwenyewe ujue? Kama ile ya Mchops alimchachafya hadi akampa talaka...

Binamu kama una contact zake nipe nimtafute anipe siri ya mafanikiooo...
 
Yan binamu yangu Dinazarde alivyokuwa mpana yan anataka awe na kituntuni na abdala msogot kwa wakat mmoja, mmh anayaweza kwa kweli

Kasema eti ye Shemale...Me nishaanza kumuogopa asije akanibaka bureee....
 
Last edited by a moderator:
Duh...kweli life is not fair...halafu talaka huwa anazidai mwenyewe ujue? Kama ile ya Mchops alimchachafya hadi akampa talaka...

Binamu kama una contact zake nipe nimtafute anipe siri ya mafanikiooo...

Ninazo contact zake, maana kuna mizigo uwa namuagizaga china maana yeye ana experience ya kutosha na biashara uko china, ntakutumia PM mwaego, ila jiandae michambo na kutangazwa kwenye kipindi chake na bi hindu
 
Kasema eti ye Shemale...Me nishaanza kumuogopa asije akanibaka bureee....

Eeh makubwa, nyie binamu huyu sio bure, kesho inabid nimpeleke kwenye maombi kwa lwakatare
 
Ninazo contact zake, maana kuna mizigo uwa namuagizaga china maana yeye ana experience ya kutosha na biashara uko china, ntakutumia PM mwaego, ila jiandae michambo na kutangazwa kwenye kipindi chake na bi hindu

Ile michambo ntavumiliaa tu, nataka aniambukize nyota binamuu....Ujue kamuambukiza hadi Bi Hindu...yule bibi na ule uzee naye kaolewa siku hizi za karibuni....!
 
Eeh makubwa, nyie binamu huyu sio bure, kesho inabid nimpeleke kwenye maombi kwa lwakatare

Mpeleke tu binamu, manake ni Shiiidah....hivi lolowapi anajua? au hayo majanga anayapendaa?
 
Ile michambo ntavumiliaa tu, nataka aniambukize nyota binamuu....Ujue kamuambukiza hadi Bi Hindu...yule bibi na ule uzee naye kaolewa siku hizi za karibuni....!

Eeh jaman nyie wanaume, yan had kikongwe wa watu wanataka kumchezesha kiduku? Si laana hiyo, huyo bi hindu nae anayeza si atulie tu ajikande na maji ya moto, kitu gan sasa kuhangaika kama mbwa wa kimasai
 
Ndo kaolewa hivo binamuu.....naona kampata mzee mwenzie wa kumliwaza...Dida kibokoo....
 
Mmh huyo dida bas ana kismat cha ndoa, na wanaume wanaomuoa wala hawaangilii background yake mmh nyie sijui ndo mambo ya pesa au ushirikina, maana haiwezekan mwanamke kutwa unaoelewa na kuachika halafu watu bado wanajileta tu
 
Mungu hakunyimi vyote...ukute ana utamu wa jam...sukari kwa wingi sanaa...
Mtoto wa Tanga yule...!

Yani anabadilisha venue za ndoa tuu..mara msikitini mara kwa mkuu wa wilaya...safari hii sijui itakuwa kanisani!!!? Hana habarii...
 
Hahahaa!chezea Dida wewe!mwenzenu anasololea ndoa ya nne wangine hata kutambulishwa ukweni ndoto na kupiga kote uchumba miaka minne kweli dunia haina usawa.

watu mna maneno kkaaah
 
Elizabeth Tailor alifunga ndoa nane. Kati ya hizo mbili ni za wanaume wawili aliotalikiana nao. Yaani mnatalikiana mnakaaaaa weee mnaoana tena upya mnaishi weee mnatalikiana tena. Kua uyaone. Shikamoo Dida.
 
Eeh jaman nyie wanaume, yan had kikongwe wa watu wanataka kumchezesha kiduku? Si laana hiyo, huyo bi hindu nae anayeza si atulie tu ajikande na maji ya moto, kitu gan sasa kuhangaika kama mbwa wa kimasai

Kwani na yeye kaolewa binamu?Hakuwa na mume?
 
Binamu Kim nana ndo kanipa huo ubuyu mi naona utani bhana aiseeh

Hakuwa na mume...Kaolewa karibuni tuu..wakati anafanya kipindi na Dida, mbona ndoa ilipewa promo tu kwenye kipindi chaoo?

Aiseee dida noma kwa hiyo kamtafutia bibi mume?Halafu nasikia kipindi chake kinaingiza hela kuliko vipindi vyote vya redio
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…