Dida kufunga ndoa tena?

Binamu kumbe hadi sa ivi hujalala? Msukuma ana kazi mwaka huu, hapana kwa kweli huu sio umbea, ebu nenda kampe msukuma mtoli huo

Mi nililala zamaniiiii,mim hua nasahau kulog out
 
Dida sio mtu mzur, akina mwafulan humu jf kutwa wanalilia bahat ata ya kuolewa na send off ila hawaipat ye anachezea tu mashela ya harusi mmh watu wana mmind kidizain

Hahahahaa!unaambiwa mjini usililie uzuri lilia bahati etii!!wamekaa oh!sura ake ka ta. ko oh!sisimamishi hata akae uc.... ndoa ya nne hiyo anaitafuta na talaka anazidai mwenyewe.
 
Watu na bahati zao bhana
 
Dida sio mtu mzur, akina mwafulan humu jf kutwa wanalilia bahat ata ya kuolewa na send off ila hawaipat ye anachezea tu mashela ya harusi mmh watu wana mmind kidizain

Hahahaa!binamu mjini ni kulilia bahati si uzuri Dida kaoshewa mndoa ndoa etii.
 
Eh!Dinazarde mwambie shemeji ngosha akipenda boga apende na ua lake sie mabinamu zako umbea ndo falsafa yetu sa ye ka haupendi tutakua hatuji kwako ujue Atatunyima haki yetu ya msingi.
 
Heeeeeee umbea tupige huu wa kidigital wa home hapana kama sio sisii tukikutwaa wastaarabu
Msukuma hapendi umbea ashanikung'uta mpaka basii lakini sikomii warumi unanifundisha vibayaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaa!unaambiwa mjini usililie uzuri lilia bahati etii!!wamekaa oh!sura ake ka ta. ko oh!sisimamishi hata akae uc.... ndoa ya nne hiyo anaitafuta na talaka anazidai mwenyewe.

Wengine uzuri juu na bahati juuuu lazima mnye tikiti hhhhhaaaaaa
 
Hahahahaa!!!shoga Mungu hatoi vyote ili mkufuruuu!haipo hyoo!kasoro isipokuepo kimwonekano basi papuchi au dushe limepinda hahahahaaa! Dinazarde nimeungama ka wewe ujue lakini najikuta tu naropoka mdomo huu.
 
Last edited by a moderator:
Heeeeeee umbea tupige huu wa kidigital wa home hapana kama sio sisii tukikutwaa wastaarabu
Msukuma hapendi umbea ashanikung'uta mpaka basii lakini sikomii warumi unanifundisha vibayaaaa

hahahahahaaa!!!shoga we mmbea by nature shoga angu utapigwa kama dada ako Jestina umbea mbaya shoga.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaa!!!shoga we mmbea by nature shoga angu utapigwa kama dada ako Jestina umbea mbaya shoga.

Aaa wapii mi umbea ni wa humu ty mtaani sifanyi umbea,siend kwangu nipo busy na mambo yangu namshukuru alieleta smatfn mambo humu humu
 
Hahahahaa!!!shoga Mungu hatoi vyote ili mkufuruuu!haipo hyoo!kasoro isipokuepo kimwonekano basi papuchi au dushe limepinda hahahahaaa! Dinazarde nimeungama ka wewe ujue lakini najikuta tu naropoka mdomo huu.

Weeee kasoro hua zipo kwa kila mtu lakinii kuna wengine wana kasoro lakini wamebarikiwa zaidu na kuongezewa vingi zaidiiii
 
Last edited by a moderator:
Aaa wapii mi umbea ni wa humu ty mtaani sifanyi umbea,siend kwangu nipo busy na mambo yangu namshukuru alieleta smatfn mambo humu humu

Na kwel shoga weee!umbea mwisho JF yan kwa maisha halisia ukiwaambia J.lee mmbea watakupiga mawe thanks JF kwa kuniweka karibu na mabinamu zangu nawapenda Dinazarde na warumi.
 
One binamu, tupo pamoja, Dinazarde na yeye sijui anadanga wapi, katoka apa nyumban toka saa tisa mpaka sasa hajarudi, we ngoja msukuma arudi halafu asimkute
 
Last edited by a moderator:
Weeee kasoro hua zipo kwa kila mtu lakinii kuna wengine wana kasoro lakini wamebarikiwa zaidu na kuongezewa vingi zaidiiii

Dinazarde uko wapi? Rudi om bhana jua lishazama, njoo ufanye makeke ya usiku
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…