Dida kufunga ndoa tena?

Na kweli shoga angu wee.

Mmh ila Dida nyie ana sura nzito kama magimbi yaliyolala, si akafanye surgery uko china?? Maana siyo sura ile, mmh hapana kwa kweli
 
One binamu, tupo pamoja, Dinazarde na yeye sijui anadanga wapi, katoka apa nyumban toka saa tisa mpaka sasa hajarudi, we ngoja msukuma arudi halafu asimkute

Wee koma,home nisharudi zamaniiii, msukuma akiona hapa utanifanya anidunde niumuke bure nyamaza hukoo
 
Last edited by a moderator:
Wee koma,home nisharudi zamaniiii, msukuma akiona hapa utanifanya anidunde niumuke bure nyamaza hukoo

Ona ulivyotokwa na povu, ulikuwa wapi toka saa tisa hadi saa kumi na mbili, mpaka umeunguza kunde loh ebu nipishe apa
 
Tunakupenda pia hivi una undugu na jet lee eti binam

Tujampenda pia, binamu na wewe umeanza umbea ooh, ila nimemis vichambo siku nyingi kweli hatujachambwa humu sijui kwa nn aah mi sipendi bhana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…