adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,732
- 4,901
Mimi Dida hata abaki uchi sisimamishii aisee
Kwani wewe ni me au ke?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Dida hata abaki uchi sisimamishii aisee
Mkuu, huyo anafanya maonyesho ya ndoa. Ndoa sio kuishi mwezi mmeachana. Akishazeeka ndo atajua madhara ya maonyesho aliyokuwa akifanya. Maisha ya ndoa ni milima na mabonde asitegemee ni tambarare tu.
Hahahaa haaaa
Hatariiiiiii
Huyu hata Miss Tanzania anaweza kushiriki kabisaHuyu unasema azeeke mara ngapi akiondoa make up unaeza mwamkia shkamoo bibi...
Hahahaa!chezea Dida wewe!mwenzenu anasololea ndoa ya nne wangine hata kutambulishwa ukweni ndoto na kupiga kote uchumba miaka minne kweli dunia haina usawa.
Sion tatizo kwa dida,tatizo wanao muoa!