Dida: Sasa ndoa basi, wanaume hawana maana wote ni wale wale

Dida: Sasa ndoa basi, wanaume hawana maana wote ni wale wale

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
attachment.php

Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida


NDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida' amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na mume kwa kudai kuwa, amebaini kujiingiza kwenye ulimwengu huo ni kujipa ‘stress' za kujitakia.


Dida alisema baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake, Edzen Jumanne, amebaini wanaume wote lao ni moja hivyo kama atakubali kuingia kwenye ndoa na mwanaume mwingine, itakuwa ni yaleyale.

"Yani sasa hivi hata aje mwanaume na gia gani siwezi kukubali kuolewa tena, kwa kifupi sina ndoto za kuitwa mke wa mtu tena, bora nibaki peke yangu nifanye mambo yangu," alisema Dida. Mia
 

Attachments

  • dida.jpg
    dida.jpg
    74.7 KB · Views: 4,170
Na asitafute magegedo milele akae kama alivyo. Nasikia wanawake wa pwani kuolewa ni kuondoa mkosi bora aweke historia ya kuolewa tu abaki akisimulia aliwahi kuolewa . Huu ni ujingaa.
 
Basi anza kutangaza dau tu Dida. ..nipo tayari.!
 
Last edited by a moderator:
atupishe sie,wameshindwa watu kweli kukaa bila mwanamme seuze yeye asoweza kuistahmilia japo week.afunike kombe mwanaharamu apite.....
 
Dida keshazeeka na ule mkorogo ndo kabisaaaaa.... Mchina ameharibu kila kitu.. Kwa sasa asione soo kiwa shuga mammy... Kama anamtaka.dogodogo bas aandae tu pesa za kuonga serengeti boys.. Vinginevyo atafute wazee wenzake atoke nao out... Umri wa kuolewa ushapita
 
Sasa mtu alikuwa mchepuko type na siyo wife type,pili mtu alikuwa ana kibur nyodo na dharau kwa mumewe(kama mumewe alivyosema),nani atakubali kuwa na mtu kama huyo,wanaume siyo wale wale ndio maana hata yeye hakuweza kutulia na mwanaume mmoja,ukishakubali tu kuliwa nje wakat umeolewa ujue lazima utapigwa chini tu kotekote na lazima utoe maneno ya maumivu ya moyon kama haya...hadith za sungura hizi,asubiri siku yake yakufa tu
 
Dida keshazeeka na ule mkorogo ndo kabisaaaaa.... Mchina ameharibu kila kitu.. Kwa sasa asione soo kiwa shuga mammy... Kama anamtaka.dogodogo bas aandae tu pesa za kuonga serengeti boys.. Vinginevyo atafute wazee wenzake atoke nao out... Umri wa kuolewa ushapita

Mtu mzima hovyo anajijua ndo maana hapigi ile nyimbo
 
Tatizo ni maneno ya jamii inayotuzunguka ndio tunaishia kuokota vitu vya ajabu mkiingia uko ndani ukaona true colours mwenyewe unatoka mbio,,,,,tukubaliane unakuja kwangu nakuja kwako mara moja moja tunashushana nyege siku zinaenda
 
Back
Top Bottom