Dida: Sasa ndoa basi, wanaume hawana maana wote ni wale wale

Wanaume hawana maana??mwanamke ukikosa adabu ndo madhara yake.Asubirie malaika amuoe kama atampata

huyu hata malaika angempiga chini tuu, no way wanaume wanne wote wamshindwe jamani, kuna kitu hakipo sawa kwa huyu dada.
 
Heee ukiona hivyo wanaume wote hawamtakii,sasa hivi ni wa kuoshea rungu tu kama kina flanii hhhhhaaaaaaaaaa
Kuishi na mume kipajii,na kuachana na mume hovyo au wanaume hovyo ni ujasiriii

Hahahaaaaa, wewe ni kiboko aiseee
 
huyu hata malaika angempiga chini tuu, no way wanaume wanne wote wamshindwe jamani, kuna kitu hakipo sawa kwa huyu dada.

Nasikia anapenda 0713 hatariiii...huyu dada ana laana si bure
 
hivi hata kama kweli angetaka tena kuolewa, ni mwanaume yupi tuu angekubali kujibebesha hilo bomu la alshababu??? mbele kunapiga miluzi nyuma marinda yamefumuka. me namshauri aanze gym kukaza misuli hiyo
 
Ule uchafu ukishauanza sidhani kama kuna dawa ya kurudisha marinda hata ufanye mazoezi kuliko Bruce Lee
 
Back
Top Bottom