Dida: Sasa ndoa basi, wanaume hawana maana wote ni wale wale

Dida: Sasa ndoa basi, wanaume hawana maana wote ni wale wale

mzigo anagawa kama kawaida hataki kumilikiwa? au hata papuchi hatoi? wenye kujua mtujuze.
 
dah! ndoa 3ingekuwa soka tunaita (hat trick )hajatokea mwekezaji wa maana ndio maana anajishebedua.
 
Wanaume sio walewale tatizo unatafuta masharo hebu tafuta msukuma tololi au mponda kokoto uone kama ndoa yako haijadum

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
jaman niliyosema yanataka kutimia juzi kaahidiwa motokali na mashemeji! maisha haya us ujanja ujanja usitukane mamba kabla hujavuka mto, kujifanya mfalme njozi na inawezekana huyu shujaa anaetaka kumvuta anafanya kusudi ili ale matapishi yake.
 
Back
Top Bottom