brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
huwezi hakika....Somo nililojifunza maishani ni kwamba, 'huwezi kushindana na mtoto wa kike hata siku moja'...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi hakika....Somo nililojifunza maishani ni kwamba, 'huwezi kushindana na mtoto wa kike hata siku moja'...
Inategemeana na trip mkuu, au just kwenda na kurudi tuInawezekana ni vyake Dida namjua ni mjasiriamali uwa anaenda china kufata mzigo na nyie muende china trip moja tu inabadilisha maisha yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba both partiesmjini, msingi kiuno... both voda and tigo!
Huu ndo mjengo na baadhi ya magari anayomiliki mtangazaji wa times FM , dida shaibu..
Mie mwandiko wako tu....huyu ni mjasiriamali mwenye akiri sana ana duka la nguo lkn mjnja sana UAMINIFU na KUJITUMA ndo kumemfikisha hapo alipo
katajilikaa kupiiia hivi
kuna wale weny maduka madogo wenye msingi mdogo eiza hawawezi kwenda china au awajui machimbo ya china yapo vipi au mishe zinaendaje hasa wa mikoani
anachofanya pengne unampa ml 5 umnunulie mzigo amba km ukisema uende kununua kkoo cost yake ni zaidi ya ml 8 sasa yeye ule mzigo anaweza pata kwa ml 3 mpk 4 mpk kukufikia araf alivyo mjanja kuwateka wateja yeye anakusafilishia mpk mlangoni popote tanzania na mari ya uhakika sasa utakuta wewe mzigo wa ml 5 unaingiza mpk ml10 wakati ukisema ununue kkoo lbda utapata faida ml 2 au uuze bei juu
sasa jenga picha akichukua oda za watu 10 tufanye kila mmoja anapata faida kwa lk 8 unafikili ana sh ngap ?
usione wale wadada anaowalusha ktk kipindi chake wale ndo wateja zake wakubwa na ana watu wengi
siyo mbeba NGADA km mnavyokalilishwa
ni mpiganaji na anajua kutumia fulsa
Kaajiriwa na Kinje.Kwa kazi hiyo hiyo ya utangazaji?
Kaajiriwa na Kinjewatujuze majasus wa mjin
provision tax instalment ya kwanza kalipa shilingi ngapipambee tu huyu bibi kinachompa jeuri kwanza ana saloon zipatazo 8 bado ana maduka,ya jumla zaidi ya 17 mjini hapa ndo maana yupo juu
Umfate ukamuulizeprovision tax instalment ya kwanza kalipa shilingi ngapi
yale mengine ulijuajeUmfate ukamuulize
RrrrrrMie mwandiko wako tu....