TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Huwezi kuwa Mtu maarufu kwa Tanzania halafu kwa namna moja au nyingine ukose kulicheza Gitaa zuri na tamu linalokung'utwa vyema na Fundi Dally Kimoko a.k.a Gitare Ezanga Likwanza.
 
View attachment 3115447

Kutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Maulid kitenge wanasema aliumwa akalazwa muhimbili ndio mauti yakamkuta

Kwa wasiomjua ni mtangazaji mkongwe, kabla ya umauti wake alikuwa akifanya kazi Wasafi fm
Huwezi kuwa Mtu maarufu kwa Tanzania halafu kwa namna moja au nyingine ukose kulicheza Gitaa zuri na tamu linalokung'utwa vyema na Fundi Dally Kimoko a.k.a Gitare Ezanga Likwanza.
 
Huu ni msiba alafu kuna waja wanaleta mzaha mzaha humu. Sad, RIP
Swali nje ya Mada hivi wale Wenzetu waliokwenda kwa Babu wa Loliondo kipindi kile kunywa Kikombe cha kupona VVU waliamini kuwa wamepona au watapona?

Ngoja nisikilize tena Wimbo wa Kanda Bongoman wa Inde Monie uliomtambulisha vyema kabisa Mpiga Gitaa maarufu na ninayemkubali Dally Kimoko a.k.a Gitare Ezanga Likwanza na niserebuke.
 
Pole sana kwa familia, Ila alikuwa na sauti baya sana, sauti linakoloma kama mlevi!
 
Achana na malaika wa jf hawawezi kukuelewa. Watu wanakera sana. Watu wana chuki sana na roho mbaya, huwezi kuta wanazungumzia upande mzuri wa maisha ya wengine. Wanachoona wao ni kasoro TU.
 
Maisha ni kama hadithi,ulichoishi ndicho kitakachosimuliwa....kama unataka hadithi nzuri tenda mema usitegemee ufariki tuanze kukupa sifa zisizo zako.
 
Nilikuwa najua unakuja na file lake kutoka muhimbili kwa chanzo chako cha uhakika,sasa kumbe na wewe ndio unastuka!nimenyong'onyea
Chanzo kimeniambia eti kilidhani najua, jamani!
Mi niko busy hata nilikuwa sijui kama anaumwa hadi kulazwa!

Ila nini, tumuombee dua njema mwenzetu ameshatangulia. Apumzike kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…