and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Mali za dhulumaHizo si mali au ni watu hao!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mali za dhulumaHizo si mali au ni watu hao!?
Whatever the case itajulikana huko mbele kwa mbeleMali za dhuluma
Kumbe mambo hayo yashafika huko kwenu, uwii tumekwisha !! Huku mpaka kuna muda watu hawalaliMimi wiki iliyopita nimezika jamaa yangu niliokuloa nae, yeye alilala vizuri tu wala hakuwa anaumwa kuamka asubuhi mpk saa 5 tunastuka mbona jamaa hatoki leo kuna nini kuja kufatilia bado kalala ile kwenda kumuamsha mtu kashakuwa wa baridi kitambo tu.
Meza njugu, hutakii.
We mtu una CD4 30 unategemea utatoboa?
Bongo, entertainment industry nzima ni imeoza, nusu yao ni marehemu wanaotembea.
sasa wewe dini gani hiyo, mwanaume akifa anapata mabikira 72, ila mwanamke akifa hapati six park 72, yeye ni motoni moja kwa moja? au anapata nini? wanawake wanaohukumiwa kunyongwa wakiwa bikira, wanatakiwa kubakwa ili wakapelekwe motoni wasije wakaingia ahera. mood muongo kuliko hata shetani mwenyewe.Hahaha watu mna maneno 😅
dogo alikuwa serengeti boy wake waliishi pamoja akampiga chini akaenda kwa serengeti mwingine baada ya kumtumia.Nmemkumbuka hyo mtangazaji amewahi kupita kiss FM ya Kwanza
Alikuwa na kipindi kiss collabo mix show
Tutaonana sisWoteeee tutakufaaa, na Didaa ameniumaa mnoo.
Msibanii nitaendaaa, [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Kwahio minjingu ndio imefikia mwisho.Tatizo la mashudu yakifikia ukomo unakata moto gafla, mgonjwa anayetumia mashudu haugui akateseka, anakata moto kama mtu wa presha
Mungu amemtwaa angali kijana.Innalillah wainna illah raj'iun,
Dida jamaniii 😭😭😭😭
Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa, ooooh Dida jamani juzi tu kamzika mama ake bado alikua anaomboleza,
Innalillah wainna illah raji'un😭
Wewe choko,mchukue mumeo mkabarikiwe,naona una hasira ya kupewa talaka na yule bwana yako aliyekufumua marinda.sasa wewe dini gani hiyo, mwanaume akifa anapata mabikira 72, ila mwanamke akifa hapati six park 72, yeye ni motoni moja kwa moja? au anapata nini? wanawake wanaohukumiwa kunyongwa wakiwa bikira, wanatakiwa kubakwa ili wakapelekwe motoni wasije wakaingia ahera. mood muongo kuliko hata shetani mwenyewe.
maneno yako kama haya yanareflect dini chafu iliyo moyoni mwako. kumbe huwa hawakosei wanaposema dini yako ni ya shetani. mtu mwenye moyo safi hawezi kuongea kama ndugu gaidi unavyoongea hivi.Wewe choko,mchukue mumeo mkabarikiwe,naona una hasira ya kupewa talaka na yule bwana yako aliyekufumua marinda.
Mara ya mwisho alifungua kipubPoleni ndugu ,jamaa na marafiki....Bwana ametoa ,bwana ametwaa jina lake lihimidiwe ,inna lilai waina ilai rajiun....M.A.P Dida wa Mchops.
Wewe punga huna akili kabisa kumbe,hayo maneno uliyoongea wewe ni maneno masafi?maneno yako kama haya yanareflect dini chafu iliyo moyoni mwako. kumbe huwa hawakosei wanaposema dini yako ni ya shetani. mtu mwenye moyo safi hawezi kuongea kama ndugu gaidi unavyoongea hivi.
Nlifikiri utani mpaka nilipoingia insta nikaona Millard ayo kapost Ni kama ndoto jamaniii
Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili.
Amefariki usiku wa leo.
---
TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa leo Oktoba 4, 2024 wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Muhimbili
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na mtangazaji mwenzake, Maulid Kitenge, kupitia mtandao wa X, Dida alikuwa amelazwa Hospitalini hapo baada ya kuugua.
pole naona unatoa povu, actually ukiona mtu anaongelea ushoga zaidi jua hayo ndio yamemjaa moyoni, wewe utakua shoga, ila sishangai manake pwani na zanzibar mmejaa. vipi, utaenda kumsaidia ndugu yako ayatolah kamenei au na wewe umejificha nyuma ya keyboard tu kama wasaudia.Wewe punga huna akili kabisa kumbe,hayo maneno uliyoongea wewe ni maneno masafi?
Halafu nyie mapunga hua hamjifichi kabisa siku hizi na wala hamuoni aibu,wewe ni maarufu hapa kua unapakuliwa,hilo lipo wazi.
Naona kumbe ulijitangaza hapa kua wewe sio riziki bila kujijua,au ulijisahau? Angalia comment yako 267# wewe ni punga acha kuvunga sasa hivi,pole naona unatoa povu, actually ukiona mtu anaongelea ushoga zaidi jua hayo ndio yamemjaa moyoni, wewe utakua shoga, ila sishangai manake pwani na zanzibar mmejaa.
Mimi nitamsaidia babako kwa mamako.vipi, utaenda kumsaidia ndugu yako ayatolah kamenei au na wewe umejificha nyuma ya keyboard tu kama wasaudia.