Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo(presha) wametangaza hivyoMbona hamsemi alikuwa anaumwa nini mpaka akaenda kulazwa
Kitenge nae mchele mchele sana picha ya marehemu na stika za pm bet wapi na wapi
Asante mkuu walinipa ban wamenifungulia...Rebeca nilimiss michango yako kuna muda mods walikusumbua ukapotea.
Ukimwi!?ugonjwa sugu(….)
Duuh kazi ipo!Kumbe hata ukifatisha dawa ni shida tu, mungu atulinde na awafanyie wepesi wenye maradhi hayo
UmemeUgonjwa gani?
UmemeMbona hamsemi alikuwa anaumwa nini mpaka akaenda kulazwa
ARV si zipo?Umeme
Alikuwa anaruka dozi,,ARV si zipo?