TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Nadhani alikuwa mgonjwa mda mrefu si chini ya mara nne au tatu nilikutana nae hospital fulani

Kwahiyo na wewe ni mgonjwa muda mrefu? Coz na yeye pia alikua anakutana na wewe huko hospital fulani.

Nauliza tu.
Kidogo niulize.Kifo sio Jambo la kukebehi wote tutapitia. Koment za ugonjwa Naona ni nyingi. Hata anaejiona mzima anaweza akaugua na kutangulia😔
 
Back
Top Bottom