TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

KUNA LA KUJIFUNZA KWA MAISHA YA MWANADAMU HAPA DUNIANI KWAMBA NI UBATILI MTUPU !
Heri wafu wafao wamejiandaa kuingia peponi baada kumrudia muumba wakati wa ujana wao kwa kutubu dhambi na kuishia kumpendeza Mungu mkuu na mwokozi wa ulimwengu. Amen 🙏
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1728109313054.mp4
    11.9 MB
We bwana tuache Sisi, tusianze kutishana.

Kila MTU aishi Kwa kuona vile inafaaa.

Sisi tunakuwa kuni huko ahera
 
Aliyewahi kufa akaja kuhadithia kuhusu hiyo adhabu ya kaburi ni Nani? Na MTU akishakufa maumivu anayasikia kwenye nini maana MWILI tayari unaoza!
Adhabu ya kaburi ni katika mambo ya ghaibu na Waislam tunayaamini. Sisi Waislam tunaamini kuwa kuna adhabu na neema za kaburi kwa sababu tumeambiwa hilo katika Qur'an na Mtume Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) katuambia hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…