Ile kesi ya prof ni hatari SA hapo ndio utashangaa katika Ile moment j aka survive halafu huyu alie enda akiwa poa lakini katoka kama tulivyosikiaKhaaa kuna watu sio wa kupewa maiki msibani...
Chances za mtu healthy kupata fungus wa kichwani ni ndogo, so inazidi kukazia kwamba alizembea kunywa dawa.
Prof J atakua anashukuru sana Mungu kunusurika akiona habari kama hizi
Kazi kwelikweli. Na pia kansa inaua watu jamani. Sijui shida ni niniTabu Kila kona ndio maana tunajitahidi kuishi Sasa ila napo ndio Kila mahali miba ngoja tupende mpira madhara yake ni madogo
Mimi nimeacha kunywa dawq hovyo kitambo. Hata nikiumwa kichwa sinywi dawa. Maana kunywa dawa hovyo sio vizuriBinadamu sisi ni wabishi sana.... na vile nchi haina utaratibu ukiingia pharmacy unapata dawa chap basi ni kujinunulia tu dawa.
Imagine wawe ndugu zako yani unakuwa na hofu kuliko waoNa zitakuja za kila mwezi tena sindano. Zitasaidia watu kuacha dawa. Ila kuna wengine wanaacha na kuugua ila hata hawafi. Kuna wa 2 hao wanakunywa pombe , wanaacha dawa, wanazidiwa baada ya wiki wapo sawa.
Wabishi hao.
Hao watu wa aina yako kwangu namjua moja, tofauti tu yeye anazingatia sana dawa ila lifestyle ni 0Na zitakuja za kila mwezi tena sindano. Zitasaidia watu kuacha dawa. Ila kuna wengine wanaacha na kuugua ila hata hawafi. Kuna wa 2 hao wanakunywa pombe , wanaacha dawa, wanazidiwa baada ya wiki wapo sawa.
Wabishi hao.
Kuna binadamu yangu ni mbishi huyo. Yaani shangazi alishamzoea. Mara aache, mara atumie shida kwelikweliImagine wawe ndugu zako yani unakuwa na hofu kuliko wao
😆 😂 😆 😂 inategema na umri wao... kama hawana tegemezi unawacheki tu.Imagine wawe ndugu zako yani unakuwa na hofu kuliko wao
Ni life style mkuu Wala hakuna kitu kingine ni mfumo wa maishaKazi kwelikweli. Na pia kansa inaua watu jamani. Sijui shida ni nini
Kama alivyosema mchangiaji huwa wanachoka ni kuwa nao karibu na kuwatia moyoKuna binadamu yangu ni mbishi huyo. Yaani shangazi alishamzoea. Mara aache, mara atumie shida kwelikweli
Tabu ni ikifika a point of no return.... mnauguza kwa hasira na aibu sana, mtu anaugua ule ukimwi wa 90s hata hospitali mnaona aibu.Kuna binadamu yangu ni mbishi huyo. Yaani shangazi alishamzoea. Mara aache, mara atumie shida kwelikweli
Ni kweliKama alivyosema mchangiaji huwa wanachoka ni kuwa nao karibu na kuwatia moyo
Kuwacheki TU ni labda mnaishi mbali mbali ila ikiwa ni tumbo Moja kuwacheki TU huwa inakuwa ngumu lazima Kuna namna watakugusa😆 😂 😆 😂 inategema na umri wao... kama hawana tegemezi unawacheki tu.
Tabu ni mtu yuko reckless hivyo halafu ana watoto under 18 zaidi ya mmoja
Ndio hivyo tunaenda naye hivyo hivyo.Tabu ni ikifika a point of no return.... mnauguza kwa hasira na aibu sana, mtu anaugua ule ukimwi wa 90s hata hospitali mnaona aibu.
Huwezi kumuacha ateseke. Unajua binadamu tuko tofauti sana. Ndugu yako utamuonea huruma tu.Kuwacheki TU ni labda mnaishi mbali mbali ila ikiwa ni tumbo Moja kuwacheki TU huwa inakuwa ngumu lazima Kuna namna watakugusa
Huwezi kumtia moyo ambae hana utayari.....Kama alivyosema mchangiaji huwa wanachoka ni kuwa nao karibu na kuwatia moyo
Binadamu watakushangaza.... nna ndugu yangu mama yake wa damu alimchoka na kumnyanyapaa, mdogo wake pia hakuwa na time nae kivile, baba tu ndo alikua na uchungu na binti yake.Huwezi kumuacha ateseke. Unajua binadamu tuko tofauti sana. Ndugu yako utamuonea huruma tu.
Acha kabisa inatisha...Ile kesi ya prof ni hatari SA hapo ndio utashangaa katika Ile moment j aka survive halafu huyu alie enda akiwa poa lakini katoka kama tulivyosikia
Tuishi kwa amani
Kwakweli kifo ni siri.... nlivyoona ile video aliyopost J anasukuma ile support nlishangaa sana, na kuitafakari familia itakua inajisikiaje kumuona ametengemaaIle kesi ya prof ni hatari SA hapo ndio utashangaa katika Ile moment j aka survive halafu huyu alie enda akiwa poa lakini katoka kama tulivyosikia
Tuishi kwa amani
Kwani Prof J alikuwa anaumwa nini?Khaaa kuna watu sio wa kupewa maiki msibani...
Chances za mtu healthy kupata fungus wa kichwani ni ndogo, so inazidi kukazia kwamba alizembea kunywa dawa.
Prof J atakua anashukuru sana Mungu kunusurika akiona habari kama hizi