TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Khaaa kuna watu sio wa kupewa maiki msibani...
Chances za mtu healthy kupata fungus wa kichwani ni ndogo, so inazidi kukazia kwamba alizembea kunywa dawa.

Prof J atakua anashukuru sana Mungu kunusurika akiona habari kama hizi
Ile kesi ya prof ni hatari SA hapo ndio utashangaa katika Ile moment j aka survive halafu huyu alie enda akiwa poa lakini katoka kama tulivyosikia
Tuishi kwa amani
 
Na zitakuja za kila mwezi tena sindano. Zitasaidia watu kuacha dawa. Ila kuna wengine wanaacha na kuugua ila hata hawafi. Kuna wa 2 hao wanakunywa pombe , wanaacha dawa, wanazidiwa baada ya wiki wapo sawa.
Wabishi hao.
Imagine wawe ndugu zako yani unakuwa na hofu kuliko wao
 
Na zitakuja za kila mwezi tena sindano. Zitasaidia watu kuacha dawa. Ila kuna wengine wanaacha na kuugua ila hata hawafi. Kuna wa 2 hao wanakunywa pombe , wanaacha dawa, wanazidiwa baada ya wiki wapo sawa.
Wabishi hao.
Hao watu wa aina yako kwangu namjua moja, tofauti tu yeye anazingatia sana dawa ila lifestyle ni 0

Ila nadhani kuna namna watoa misaada wanafaidika ndo maana regimen best zinachukua muda...

Nchi zenye equipments na hela kwao HIV sio ishu, ts not even 1% ya population na majority ni homosexuals...... hata niwe siwezi ipa priority kivile
 
Kazi kwelikweli. Na pia kansa inaua watu jamani. Sijui shida ni nini
Ni life style mkuu Wala hakuna kitu kingine ni mfumo wa maisha
Wakemia wameingia maabara wamekuja na Kila kitu vinywaji hadi vya 100 vyakula vilevi materials za nguo madawa mafuta na vipodozi mazao kama gmo Sasa ni kujitahidi kuwa na kiasi kwenye Kila tunachofanya hata kupenda tuwe na kiasi
 
😆 😂 😆 😂 inategema na umri wao... kama hawana tegemezi unawacheki tu.

Tabu ni mtu yuko reckless hivyo halafu ana watoto under 18 zaidi ya mmoja
Kuwacheki TU ni labda mnaishi mbali mbali ila ikiwa ni tumbo Moja kuwacheki TU huwa inakuwa ngumu lazima Kuna namna watakugusa
 
Kama alivyosema mchangiaji huwa wanachoka ni kuwa nao karibu na kuwatia moyo
Huwezi kumtia moyo ambae hana utayari.....
Wengi wanaozembea unakuta hawana cha kupoteza...
Eg watoto washakua, umri umeenda yeye au hana watoto kabisa, ana watu wa kumuuguza na kikubwa kajikatia tamaa yeye kama yeye anaona liwalo na liwe
 
Huwezi kumuacha ateseke. Unajua binadamu tuko tofauti sana. Ndugu yako utamuonea huruma tu.
Binadamu watakushangaza.... nna ndugu yangu mama yake wa damu alimchoka na kumnyanyapaa, mdogo wake pia hakuwa na time nae kivile, baba tu ndo alikua na uchungu na binti yake.

Ni aina ya binti ambae ukuaji wake kasumbua sana, na kibaya zaidi alikataa kabisa kunywa dawa denial. Kaanza kunywa dawa ishakua AIDS na hazikumsaidia...

Aliumwa sana akapupuruka hata msibani hawakuaga ile ya kufunua jeneza
 
Ile kesi ya prof ni hatari SA hapo ndio utashangaa katika Ile moment j aka survive halafu huyu alie enda akiwa poa lakini katoka kama tulivyosikia
Tuishi kwa amani
Kwakweli kifo ni siri.... nlivyoona ile video aliyopost J anasukuma ile support nlishangaa sana, na kuitafakari familia itakua inajisikiaje kumuona ametengemaa
 
Back
Top Bottom