TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Mkuu, usijidanganye,....nina ushahidi wa kutosha kabisa,...Waathirika wengi wanawapanga madaktari kabla ya kwenda kupima,...daktari anakunjishwa mpunga wake, kisha anatunga majibu...kujipima wenyewe hawataki au wanakataa majibu,...huku kwetu kuna hadi daktari aliyehamishwa kwa sababu ya tuhuma hizo,...
Mbona ni uuaji na inatisha
 
Na mafioso je? Na Fo Shizo majizo? na Pearl je? Mabeto Je? Na Mke wa didi je? Na Sepenga je? Na Whiozu Je? Na Tunda Je? na Ndaro Je? Na na na na na ninii nini ???? Chain ni ndefu.
Wasanii wengi washajitoa ufahamu huwezi date na kila mwanaume au kila mwanamke afu jamii inakuona leo umechukua huyu kesho yule , waii chain ndefu
 
Back
Top Bottom