TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Mbona ni uuaji na inatisha
 
Na mafioso je? Na Fo Shizo majizo? na Pearl je? Mabeto Je? Na Mke wa didi je? Na Sepenga je? Na Whiozu Je? Na Tunda Je? na Ndaro Je? Na na na na na ninii nini ???? Chain ni ndefu.
Wasanii wengi washajitoa ufahamu huwezi date na kila mwanaume au kila mwanamke afu jamii inakuona leo umechukua huyu kesho yule , waii chain ndefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…