Innalillah wainna illah raj'iun,
Dida jamaniii [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa, ooooh Dida jamani juzi tu kamzika mama ake bado alikua anaomboleza,
Innalillah wainna illah raji'un[emoji24]
DuuuView attachment 3115402
View attachment 3115449
Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili
Amefariki usiku wa leo
Apumzike kwa amani, Juma Lokole atalia sanaView attachment 3115402
View attachment 3115449
Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili
Amefariki usiku wa leo
ndio huyo, alikuwa na maneno kah!Ndio yule dada wa ndoa nyingi? Apumzike kwa amani
Kivipi,kifo ni kifoVijana jitafakarini njia zenu.
Mtawaacha wazee nyie mtangulie
Unataka kusema alikua kaunganishwa kwenye national grid?Vifo vya ghafla hivi?
Kweli kabisaApumzike kwa amani, Juma Lokole atalia sana
Kwenye cv yake pale kwenye kipengele cha hobbies alikua kaandika hivyo mkuu?Sema alikua na hobby ya kuolewa kila anapojisikia na kuachika kila anapojisikia