Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vifo vya aina hii vya ghafla huwa vinastua sana
Mungu ampe anachostahili
Kaburi lina adhabu gani mkuu?Apumzike kwa amani Kifo ni fumbo mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu ya kaburi nenda salama jirani yangu kutoka kigamboni na mbweni hapo 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Bwashee maisha unayatunza vipi? Kuishi ni bahati tusasa yule dogo alipigwagwa naye picha akiwa anaoga utupu, yule dogolasi alikuwa mtangazaji, itakuwaje kama ndio kulikuwa na pipi tena. ndugu kuweni makini haya maisha Mungu ametupatia tuyatunze.
Unajua huyo dida alikuwa na miaka mingapi?Vijana jitafakarini njia zenu.
Mtawaacha wazee nyie mtangulie
Mungu wangu, pumzika kwa amani Dida!
Mimi wiki iliyopita nimezika jamaa yangu niliokuloa nae, yeye alilala vizuri tu wala hakuwa anaumwa kuamka asubuhi mpk saa 5 tunastuka mbona jamaa hatoki leo kuna nini kuja kufatilia bado kalala ile kwenda kumuamsha mtu kashakuwa wa baridi kitambo tu.Na ndio vifo vilivyojaa kwa sasa
Huku kwetu kuna case 7 za watu kufa usingizini tangu mwezi wa6 mpk huu
Hali inaogopesha
Ukifa utajua tuKaburi lina adhabu gani mkuu?
Mid 40s, alikuwa classmate wangu primary ubungo national housing. Kazaliwa Late 70 or early 80, if my memory serves me correct.Unajua huyo dida alikuwa na miaka mingapi?
kaolewa mara 7 sio tatuKuna watu wanatamani hata waguse tu shela then waachike...