MAGEMBE 4REAL
Member
- Mar 10, 2022
- 61
- 99
Apumzike kwa Amani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana lakini pia upande wa pili inahuzunisha sana......Achana na malaika wa jf hawawezi kukuelewa. Watu wanakera sana. Watu wana chuki sana na roho mbaya, huwezi kuta wanazungumzia upande mzuri wa maisha ya wengine. Wanachoona wao ni kasoro TU.
Sasa watanzania hamna jema,kama ndoa ni achievement mbona wanampopoa sana humu?🥲Wee sie tunapenda ngono bwana mambo ya nyumba yanatuhusu nini ...kwanza nyumba nyingi sio achievement...achievement kuolewa na wanaume wengi. Itakuwa alikuwa mtamu sana na ana ushawishi kinomaaaa...ukigusa tuu mbususu lazima utangaze ndoa
Uko sahihi.Maradhi saivi ni mengi wala usiwaze hilo tu.
Alilazwa wikiWatu kama hao kina Dida wanatembea wameoza. Husikii anaumwa unasikia kifo tu.
Angelazwa wiki huyo kila mtu angejua
Ndugu zanguni duniani hakuna mkamilifu na hakuna mtilifu....Sisi sote kila mmoja wetu kwa namna moja au nyingine tuna upande wetu mweusi wa maisha yetu........
Si vyema kuwananga kwa sifa mbaya wenzetu waliotangulia mbele za haki bali iwe kama ukumbusho kwetu kwani sote safari yetu ni moja na hakuna ajuaye siku wala saa......
Mapungufu ni maumbile yetu lakini tumuombe mola tuwe na mwisho mwema.....kwani umbali uliopo baina ya kifo na mwanadamu ni karibu zaidi ya umbali wa kiatu na unyayo wake......
Tujitahidi kufanya stara kwa binadamu mwenzetu huku tukizidi kumuomba Mungu atupatie mwisho mwema na moyo wa kuyaacha mabaya ya wazi na yale ya sirini........
Hatupaswi kuogopa kifo bali tunapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo.....kwani hofu na mashaka haviondoi siku ya kufa bali matendo yako mema ndivyo vitakuweka Pema.........
Sisi sote ni wa mwenyezi Mungu na
HakikaNdugu zanguni duniani hakuna mkamilifu na hakuna mtilifu....Sisi sote kila mmoja wetu kwa namna moja au nyingine tuna upande wetu mweusi wa maisha yetu........
Si vyema kuwananga kwa sifa mbaya wenzetu waliotangulia mbele za haki bali iwe kama ukumbusho kwetu kwani sote safari yetu ni moja na hakuna ajuaye siku wala saa......
Mapungufu ni maumbile yetu lakini tumuombe mola tuwe na mwisho mwema.....kwani umbali uliopo baina ya kifo na mwanadamu ni karibu zaidi ya umbali wa kiatu na unyayo wake......
Tujitahidi kufanya stara kwa binadamu mwenzetu huku tukizidi kumuomba Mungu atupatie mwisho mwema na moyo wa kuyaacha mabaya ya wazi na yale ya sirini........
Hatupaswi kuogopa kifo bali tunapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo.....kwani hofu na mashaka haviondoi siku ya kufa bali matendo yako mema ndivyo vitakuweka Pema.........
Sisi sote ni wa mwenyezi Mungu na kwakwe tutarejea........
Ukiwa humble hufi?Innalillah wainna illah raj'iun,
Dida jamaniii 😭😭😭😭
Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa, ooooh Dida jamani juzi tu kamzika mama ake bado alikua anaomboleza,
Innalillah wainna illah raji'un😭
Ukiishi kwa utulivu hautakufa?Ishi Kwa utulive, maisha ni mafupi sana, usifanye vitu ukajiona uko na extra power huko ni kujisahau.
Si vyema kuwasimanga waliotangulia mbele za haki.......walishaimaliza safari yao...... Sisi tuliobakia tujifunze kupitia mazuri yao.....vifo vyao vibakie kama ukumbusho kwetu kuwa duniani tunapita tuThubutu.
Hakumaanisha kuwa hufi bali tusiwe wajivuni na wajeuri bali tuwe wanyenyekevu na watiifu mbele za mwenyezi..Ukiwa humble hufi?
Alikuwa na mdomo sana na kubadilisha wanaume tena kwa ndoa kila msimu ,Mungu amhifandhi mahara alipojiandalia
USSR
Hakumaanisha kuwa hufi bali tusiwe wajivuni na wajeuri bali tuwe wanyenyekevu na watiifu mbele za mwenyezi..
Maisha yetu hapa duniani ni mfano wa mtu anayesafiri aliyepumzika kivulini.......
Sisi binadamu ni wenye kusahau hivyo ni wajibu wetu kukumbushana......MUNGU alishatuonya juu ya hilo tangu zamani approximately 2000 years iliyopo
1 Petro 2.11
"Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho"
Binadamu sote ni
Ni wasafiri
ni wapitaji
ni wakimbizi
TAMAA za mwili 👉 ni mahitaji ya mwili ambayo yapo nje au kinyume na mapenzi ya MUNGU. Mfano ngono/Zinaa ni hitaji la mwili hu wa Nyama na DAMU ambalo lipo kinyume na mapenzi ya MUNGU
hivi kuna mapunga wengi kama ninyi mujahidin, si mnasema kila opening kwenye mwili ni sunah, sisi wenzenu ushoga ni dhambi, ninyi ni suna.Naona kumbe ulijitangaza hapa kua wewe sio riziki bila kujijua,au ulijisahau? Angalia comment yako 267# wewe ni punga acha kuvunga sasa hivi,
Mimi nitamsaidia babako kwa mamako.
Pole na msiba dadaUko sahihi.