uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Umekapenda haka ka msemo!Imekua ghafula sana wee huogopi?
Yah Jana naisoma hii taarifa nikasema ngoja nitulie maana hata mwaitege tuliambiwa kafa ila ndio hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekapenda haka ka msemo!Imekua ghafula sana wee huogopi?
Ila sio jambo jepesi kama unavyosema...Sasa huyo akiongeza umakini kidogo tu atakuwa Bora sana
Kuna watoto wamezaliwa nao na Sasa wako makazini na kwenye biashara wanaishi maisha mazuri TU Cha msingi usiache dawa Wala kupitisha mda
Mbona wamesema vidonda vya tumbo na fungus au uko mbali na you tube!?Aliugua ugonjwa gani? Mbona hawataki kuweka wazi wanaishia tu kusema aliugua?
Ugonjwa wowote ukiuchukulia poa unaenda na maji. Hata UTI watu wanaona ni Ugonjwa mdogo ila unaua Figo kama usipotibiwa mapema na kwa ufasaha.Sasa huyo akiongeza umakini kidogo tu atakuwa Bora sana
Kuna watoto wamezaliwa nao na Sasa wako makazini na kwenye biashara wanaishi maisha mazuri TU Cha msingi usiache dawa Wala kupitisha mda
Nimewaza tuu aiseee...Umekapenda haka ka msemo!
Yah Jana naisoma hii taarifa nikasema ngoja nitulie maana hata mwaitege tuliambiwa kafa ila ndio hivyo
Itakusaidia nini akija na faili lake? Inasikitisha kwa kweli.Nilikuwa najua unakuja na file lake kutoka muhimbili kwa chanzo chako cha uhakika,sasa kumbe na wewe ndio unastuka!nimenyong'onyea
Fangasi wa wapi?.basi hozo tetesi za ukimwi inaweza kuwa kweliMbona wamesema vidonda vya tumbo na fungus au uko mbali na you tube!?
Akiacha tu atapata magonjwa nyemelezi hatari.Ila sio jambo jepesi kama unavyosema...
Kuna mtoto alizaliwa nao kwa sasa ni kijana mkubwa anasema sio kitu rahisi kuna muda akili inamtuma kuacha...anachoka ila anasema akipima damu ni kama virus vimeisha...
Uko sahihi kabisa na huyo kijana yuko sahihi mno ni kazi inayohitaji 💯kujitolea Cha msingi asiache maana kufanya hivyo ni kujipa death sentenceIla sio jambo jepesi kama unavyosema...
Kuna mtoto alizaliwa nao kwa sasa ni kijana mkubwa anasema sio kitu rahisi kuna muda akili inamtuma kuacha...anachoka ila anasema akipima damu ni kama virus vimeisha...
Fungus wa kichwani off course ukweli ni mkubwa sana hasa ukimsikiliza mjombaFangasi wa wapi?.basi hozo tetesi za ukimwi inaweza kuwa kweli
Sema kuna watu wanapenda mapenzi mpaka unajiuliza kama wako timamu upstairs 🤔 ila waume zake wote aliwazidi ujanja labda huyo mchopanga.Hadi nawaza inawezekana hizi ndoa kufa kufa labda waume baadae walikua wanagundua hii kitu....
Make unawaza sa mtu ndoa miezi tu inakufa kisa nini sasa.
Dah yule kijana mwenye body la chuma yule 🤦
Ohoooo baaasiiii....🤧🤧🤧🤧Fungus wa kichwani off course ukweli ni mkubwa sana hasa ukimsikiliza mjomba
Katumia tafsida ila kaweka ukweli vizuri sana
Mungu atusaidie sana tufike kupokea pension za kikokotoo😥Ugonjwa wowote ukiuchukulia poa unaenda na maji. Hata UTI watu wanaona ni Ugonjwa mdogo ila unaua Figo kama usipotibiwa mapema na kwa ufasaha.
Amina...Mungu atusaidie sana tufike kupokea pension za kikokotoo😥
Pension zenyewe shida kwakweli, zinapelekea wastaafu kufa mapema.Mungu atusaidie sana tufike kupokea pension za kikokotoo😥
Mjomba wa Dida anaongea kwa speed sio poaOhoooo baaasiiii....🤧🤧🤧🤧
Mjomba yupi huyo? Au mpoto
Khaaa kuna watu sio wa kupewa maiki msibani...Fungus wa kichwani off course ukweli ni mkubwa sana hasa ukimsikiliza mjomba
Katumia tafsida ila kaweka ukweli vizuri sana
Na zitakuja za kila mwezi tena sindano. Zitasaidia watu kuacha dawa. Ila kuna wengine wanaacha na kuugua ila hata hawafi. Kuna wa 2 hao wanakunywa pombe , wanaacha dawa, wanazidiwa baada ya wiki wapo sawa.Uko sahihi kabisa na huyo kijana yuko sahihi mno ni kazi inayohitaji 💯kujitolea Cha msingi asiache maana kufanya hivyo ni kujipa death sentence
Ni kweli ukitumia kwa utaratibu hufika sehem na kuona vidudu havipo na Dr wake wakijiridhisha nadhani huwa wanarekebishiwa dozi Kuna namna huwa inarahisisha mambo
Tabu Kila kona ndio maana tunajitahidi kuishi Sasa ila napo ndio Kila mahali miba ngoja tupende mpira madhara yake ni madogoPension zenyewe shida kwakweli, zinapelekea wastaafu kufa mapema.
Binadamu sisi ni wabishi sana.... na vile nchi haina utaratibu ukiingia pharmacy unapata dawa chap basi ni kujinunulia tu dawa.Ugonjwa wowote ukiuchukulia poa unaenda na maji. Hata UTI watu wanaona ni Ugonjwa mdogo ila unaua Figo kama usipotibiwa mapema na kwa ufasaha.