Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki kichambo hata angekuwa hayupo huku lazima angeitafuta JF aje asome.Naona amepanikije huko insta, kumbe yupo huku eeh....da jen hebu tuletee kichambo cha mange kimambo bhana, siku hiyo ntakuwa nasoma kichambo huku nakata uno kama chura wa snura.
Hahhahaha, yaani pale ndo kaona kachaaaaamba mwenyewe.Heheeeee halafu watu wanamsifu kwa kichambo!
Kichambo gani kile kwa mfano?
Kajibu huku anatetemeeeeeka.
Kama ule ndio uchambaji basi nakupa taji DaJane....
Ila ukweli wako umeupata.
Dida wewe MBAYAAAAAAAAA!
Hapo una hela tu bado unatisha,ungekuwa huna je?
Si tungekutumia kama sanamu la kutisha watoto?
Mimi na wewe tena mupenzi?Jamanii cuzooo nisamehee si unajua tena mambo ya weekend!! sikuchungulia humu....naomba siku wa ubuyu wa lulu upige simu kabisa nisipopokea niibukie job...hahahah raha ya ubuyu ule ukiwa ma motrooooooooooooooo!! hahahha
Haligusijwe shoga angu?
Heheheeee umbea unaniwasha hapa.
Snura yuko vizuri,ni hivyo tu kajiharibu na mkorogo.
Mwanaume mstaarabu hawezi chezea ile ngozi iliyooza kwa mkorogo japo ana buno la haja.
Sijui nani alimdanganya masikini,alikuwa mzuri tu na ngozi yake....loooh!
Hahahahahaaaa uwiiiiiiiiiiiiHahhahaha, yaani pale ndo kaona kachaaaaamba mwenyewe.
Na wapambe wake wako nyuma kama mkia wa nyani.....mxiyuuuuuuu!!!!!
Hata ukinikamia, ukweli nishakwambia Dida, uache kujivalisha pete feki.
Kwanza sijui Issa kakupendea nini, uso umeumuka kama andazi la azam....wavaa misuli wote wa kwa Dosa wamekulala.
Kwanza ugomvi wako na akina Dina na Geah kipindi kile unadhani tulikuwa hatuujui?
Yaani unataka jambo ukiongea wewe utukuzwe kama malkia?
Na walivyokuchamba kwenye kitchen party y Thea ilikuwa ndo ponapona yako, maana ulielekea kupewa kichambo.
Na huo uso sijui ungekuwaje...maana hujaguswa tu umeumuka wenyewe, ungeguswa je?
Ila shoga angu Dida hivi unajijua kama wewe ni Mbaya, yaani mbaya sipati kukwambia, akina Warda wanakuficha tu....walah heri ulivyoujua mkorogo mapema maana ungekuwa kinyago cha andateka na kukimbiza watu mtaani.
Hahahhha.....eti hata aoe wa 100 wewe utakuwa wa 101....kwa ndoa ya kujitolea mahari na kujivalisha pete?
Na nakusubiri kwenye kipindi chako uchambemaana si ndio wajinga wenzio wanapokushika masikio.
Sura ya duara kama chapati ya azam.
Yaani najua unanifahamu ndio maana unajitutumua.
Na waambie wapambe wako walioko humu mie nipo.
Na insta pia niko.
Na nipo kwenye group lako la Whatsapp....ila hutanijua ng'oooo.
Hahahhaha.....umeingia mlango wa kutokea.
Eti baby lala akuote, baby wa kumtoa ndani ya ndoa ya mtu?
Dida we mchawi nambari 1, nakujua utandu kwa makoko.
Na hii ndoa yako ya kuning'iniza kwa uzi, ipo siku.
Mahari ujitolee, Pete ujinunulie, Nyumba ya ukweni ukarabati.
Hapo umeolewa au umejioa?
Asa hilo Apple la ku-download ili iweje?
Sie tunataka uweke sura ya Issa, unapora bwana huku hujajikamilisha.
Ngumbalu we.
Cha kujiweka moyo juu juu kama roho ya teja nini?
Mxyiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
Hapana mama,anzisha tu wewe nishakuvulia kofia.We weka wa Lulu, tag tuje kuujazia nyama na mifupa.
Da Janeeeeee umenikonga hadi kumoyo. SaluteeeeeIla kanipaisha....naamini wapambe wake wako humu, lah!, kaperuzi.
Chezea DaJane mie, rais wa wasasambuaji kwa Manjunju!!!
nsalu, nilisema mie, wapambe wake wako humu.
Naona wamemfikishia ujumbe nyakanga wao, mwenye sura chachu kama anakamuliwa jipu.
Hahaaaaaaaa....Dida, hata hujanikera bado.
Huyo baba Abuu kito**I dunia nzima,
afu nasikia ni ngumbalu, ila wote mmekutana.....pwagu na pwaguzi.
Issa, mzee wa kitonga.
Dume zima unalelewa ..
Yaani wewe sijui mchaga wa wapi aisee babaangu.
Mchaga analelewa?
Muulize Idriss yanayomkuta sa hivi, siri hadharani.
Issa, afu nakutuma kwa Dida, mwambie aache kumuuza mtotowamama.
Uchoko bila viwalo na mvuto havinogi.
Mi sijaona kichambo zaidi kurusha rusha maneno yaani kapanick vby haa haaa haaaaHeheeeee halafu watu wanamsifu kwa kichambo!
Kichambo gani kile kwa mfano?
Kajibu huku anatetemeeeeeka.
Kama ule ndio uchambaji basi nakupa taji DaJane....
Ila ukweli wako umeupata.
Dida wewe MBAYAAAAAAAAA!
Hapo una hela tu bado unatisha,ungekuwa huna je?
Si tungekutumia kama sanamu la kutisha watoto?
Ama kweli wewe ni fundi wa hii tasnia, na unaweza kuipatia copy right wajanja wasije wakaitumia kujinufaisha. Heko saaana.Hahhahaha, yaani pale ndo kaona kachaaaaamba mwenyewe.
Na wapambe wake wako nyuma kama mkia wa nyani.....mxiyuuuuuuu!!!!!
Hata ukinikamia, ukweli nishakwambia Dida, uache kujivalisha pete feki.
Kwanza sijui Issa kakupendea nini, uso umeumuka kama andazi la azam....wavaa misuli wote wa kwa Dosa wamekulala.
Kwanza ugomvi wako na akina Dina na Geah kipindi kile unadhani tulikuwa hatuujui?
Yaani unataka jambo ukiongea wewe utukuzwe kama malkia?
Na walivyokuchamba kwenye kitchen party y Thea ilikuwa ndo ponapona yako, maana ulielekea kupewa kichambo.
Na huo uso sijui ungekuwaje...maana hujaguswa tu umeumuka wenyewe, ungeguswa je?
Ila shoga angu Dida hivi unajijua kama wewe ni Mbaya, yaani mbaya sipati kukwambia, akina Warda wanakuficha tu....walah heri ulivyoujua mkorogo mapema maana ungekuwa kinyago cha andateka na kukimbiza watu mtaani.
Hahahhha.....eti hata aoe wa 100 wewe utakuwa wa 101....kwa ndoa ya kujitolea mahari na kujivalisha pete?
Na nakusubiri kwenye kipindi chako uchambemaana si ndio wajinga wenzio wanapokushika masikio.
Sura ya duara kama chapati ya azam.
Yaani najua unanifahamu ndio maana unajitutumua.
Na waambie wapambe wako walioko humu mie nipo.
Na insta pia niko.
Na nipo kwenye group lako la Whatsapp....ila hutanijua ng'oooo.
Hahahhaha.....umeingia mlango wa kutokea.
Eti baby lala akuote, baby wa kumtoa ndani ya ndoa ya mtu?
Dida we mchawi nambari 1, nakujua utandu kwa makoko.
Na hii ndoa yako ya kuning'iniza kwa uzi, ipo siku.
Mahari ujitolee, Pete ujinunulie, Nyumba ya ukweni ukarabati.
Hapo umeolewa au umejioa?
Asa hilo Apple la ku-download ili iweje?
Sie tunataka uweke sura ya Issa, unapora bwana huku hujajikamilisha.
Ngumbalu we.
Cha kujiweka moyo juu juu kama roho ya teja nini?
Mxyiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
Da Jane anzisha ya lulu basiHahahahahah......we bhana, hahahha
Mkuu ni vema mkampa nafasi ili apange vitu na vipangike. Msiwe na haraka ile ni sanaa na sio jambo la kukurupuka. Tuvute subira ili madikodiko yaive sawasawa!Da Jane anzisha ya lulu basi
Hahahhaah.....jamani watu kwa kupenda ubuyu siwawezi.Mkuu ni vema mkampa nafasi ili apange vitu na vipangike. Msiwe na haraka ile ni sanaa na sio jambo la kukurupuka. Tuvute subira ili madikodiko yaive sawasawa!
Hahahaha,apana chezea madikodiko....wacha tusubiri mautamuMkuu ni vema mkampa nafasi ili apange vitu na vipangike. Msiwe na haraka ile ni sanaa na sio jambo la kukurupuka. Tuvute subira ili madikodiko yaive sawasawa!