Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Kafubaa mno fekero life litamu cost kichwapanzi kamuumbua bas hata kuchamba wengine atakomaHahahahahaa Diva umenichekeshaje?
Kweli ule wembamba utakuwa wa stress,tena za kichwapanzi...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafubaa mno fekero life litamu cost kichwapanzi kamuumbua bas hata kuchamba wengine atakomaHahahahahaa Diva umenichekeshaje?
Kweli ule wembamba utakuwa wa stress,tena za kichwapanzi...lol
Uwiiii natamani hyo cku ifike mapema nahamu ya kujua huo ubuyuTena shoga nina file zima la kisa cha huyo Seki na kifo chake.
Hilo nitalitoa exclusively siku ya kichambo chake.
Mtabaki midomo wazi,mimi nilipoambiwa nililia kutwa nzima.
Mtoto mbaya yule?
Hahaaaa dida kapaniki aisee ujumbe umemfikia aliko
Kitoto kinajiona kile afu kujitia kinajua kila kitu, jinsi kinavyoumiza wanawake wenzie kinanikera mnooo yani kile kinatakiwa kipate mchambo heavy hadi kirudishe mihirizi kwa huyo fundi wake mscheeewTena shoga nina file zima la kisa cha huyo Seki na kifo chake.
Hilo nitalitoa exclusively siku ya kichambo chake.
Mtabaki midomo wazi,mimi nilipoambiwa nililia kutwa nzima.
Mtoto mbaya yule?
Huyu kama anatokea Moshi basi atakuwa ni jamii ya wale wa kuleee Rombo!Issa na wewe umekuwa mwanaume wa dar?
Duu jamani!!!! Hebu zamu yake ifike haraka tushughulike na hilo faili. Mweee mtoto mdogo lkn mambo yake mazito kama kontena .Tena shoga nina file zima la kisa cha huyo Seki na kifo chake.
Hilo nitalitoa exclusively siku ya kichambo chake.
Mtabaki midomo wazi,mimi nilipoambiwa nililia kutwa nzima.
Mtoto mbaya yule?
Limechoma haswa. Anavyomsifia huyo mwanaume na Edzen alimsifia hivyo hivyo lkn ndoa haikumaliza hata mwaka. Let us wait and see.Hahahahahah......limemchomaaaaaa.
Kumbe kapata salamu eeeee!!!!
Safi sana
Umri wake na mambo anayofanya tofauti kbssssss.Kitoto kinajiona kile afu kujitia kinajua kila kitu, jinsi kinavyoumiza wanawake wenzie kinanikera mnooo yani kile kinatakiwa kipate mchambo heavy hadi kirudishe mihirizi kwa huyo fundi wake mscheeew
Yani kinajifanya kipo juu kama muashok wakati uchangu kimeanzia nursery mfyuuu na hizo K nazani zitakuaga zishapoteza asili yake zimebaki ka kikopo cha rays waiiiii
Huyu kama anatokea Moshi basi atakuwa ni jamii ya wale wa kuleee Rombo!