Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

Hapana aisee yani sio kwa kuchoka huko yani amekua ka wale wa sudani walioko vitani nilimhurumia na vichambo vya kichwa panzi vina mtouch mno hafu yuko depressed bora kubaki madongo kuinama ule hata miogo sio chips za kuhesabiwa
Tatizo aliingia Marekani kwa fujo sana, akajifanya kila kitu anajua yeye. Mara dream house, Mara designer basi kufanya mashauzi tu yasiyokuwa na maana.
 
Tatizo aliingia Marekani kwa fujo sana, akajifanya kila kitu anajua yeye. Mara dream house, Mara designer basi kufanya mashauzi tu yasiyokuwa na maana.
Kwakweli tabia ya kichwapanzi mbaya mno...anampa tabu sana Mange...nadhani anatamani kuhama IG ila anaogopa mzomeo yani anapata shida
Mange jifunze kupuuzia mama utagombana na dunia nzima utaweza?? shetani mwenyewe alimuomba Mungu apate walau kibali cha kuwarubuni wanadamu ili awe na mashost we mwenzetu kutwa kutibuana na watu aaah vibaya hivyo mwali we
 
Hapana aisee yani sio kwa kuchoka huko yani amekua ka wale wa sudani walioko vitani nilimhurumia na vichambo vya kichwa panzi vina mtouch mno hafu yuko depressed bora kubaki madongo kuinama ule hata miogo sio chips za kuhesabiwa
Hakuna mtu alie weza kumnyoosha mange kama kichwapanzi,duuh yaani nime mpigia salut maskini mange kila mtu hampendi
 
Da Dida hujambo bibie?
Za masiku mingi, naona siku hizi mashallah wazidi kuwa 'mzungu-pori'....nisalimie mwanao Samira.

Dada Dida, najua unanikumbuka, unamjua dada mmoja anaitwa Zanelle Ladies wear ana duka lake la nguo pale Studio?...kila siku huwa tunakutana pale, na kuna siku ulinikuta na ukaniambia, "yaani we dada kila nikija tunaonana, nahisi nyota zetu zinafanana" ulikuwa umevaa top na miniskirt ya njano na raba za bluu bahari nami nilikuwa nimevaa baibui la pink....asa yule ndio mimi....naam, usijisahaulishe na ufupi wako kama gogo la buchani.

Dida wewe sio wa kumfanyia Aisha vile, kwanza unamjua Aisha ni nani?
Aisha ni mke wa kwanza wa Issa, Issa mwanamme wako aliyekuvalisha pete ya uchumba feki na mpambe wako mkuu alikuwa kizuka Sauda Mwilima a.k.a mwanaukome.
Mtoto kajichubua lakini sijui kama makalio na vimbwisa vya miguu na mikono vimetakata.
Nasema pete feki kwa maana hakuna hata ndugu yako mmoja aliyehudhulia zaidi ya wauza mikorogo wenzako, chezea mzodeo wewe!!!!.......mxiyuuuuuuuu!!!

Halafu hiyo tabia yako ya kusagana na mtoto wa mjomba wako ukome, ndio, unasagana na Warda Makongwa, a.k.a wardabbygirl, kwa u-baby gani kwanza aliokuwa nao,mtu amekomaa kama jiwe la kusugulia gaga la mkoma.
We na Warda si mjonba na shangazi nyie....kweli dunia imevaa msuli.
Umefumwa mara 3 unam-tamtam Warda, halafu ukatumia nguvu nyingi kukataa, (na ndio maana safari za Morogoro kwa Warda haziishi)
Ila nawe Warda subiri fangasi za koo na ulimi, maana sipati picha na mkorogo ule unavyounyonya......ndio maana lips zimechanika kwa kulamba mikorogo ya chini kwa dida.
Huko 87.9 Planet fm Morogoro hata sioni unachofanya, ukaona ndugu yako dida anavyochamba watu katika kipindi chake nawe ukajua utaweza, mxiyuuuuuuuu.....wapiiiiiiiiii, kila uturi na fushole bibi weeeee!!!!!

Kwanza ngoja nikuweke kiporo maana leo sipo na wewe.
Mdomo koma!!!!

Haya Dida narudi kwako, hivi mwenzetu umekoshewa jimbo gani?
Nyakanga na mwali wako alikuwa nani wakati unaingia ukubwani?
Sio Bi. Hindu kweli mtu mzima kisheti mwenzio?
Maana kila unapoingia, nafasi zimejaa.

Haya kisa cha kwenda kumpora Aisha mumewe ni nini?
Hujiamini kwani?
Mwanamke kujiamini bibi weeeee.
Haya umemuiba, muweke hadharani tumuone, hutaki, Mwenzio Wolper kanyakua bwana tena mume wa mtu, na kesho yake insta wote tukamuona.
Mpaka leo....huyooooo, Mcongo anachezea tu ziwa la Jacline.
Amfiche kwani ana sura ya ngedere kama wewe Dida?
Lakini wewe sasa, mara leo kawekwa pua...na mpua wake ulivyo mpana kama uwanja wa gymkhana, maana hata ukimuweka kwapani bado mpua unachungulia nje, mara leo kawekwa mkono, kesho kipapatio, keshokutwa kimbwisa cha kichwa....na mbichwa wake ulivyo m-bato kama kiberenge cha Tazara.

Aisha wa watu analia usiku na mchana,
Siku ya kwanza kumrusha Issa instagram, mkewe kwa mshtuko alioupata....mimba yake ilitoka.
Hivi we Dida ukiambiwa mchawi utakataa?
Umemficha weeeeee.....kumbe tunakulia timing tu.
Haya sasa, kiko wapi.
Na kwa taarifa yako Issa kaongeza mwanamke wa pili anaitwa Vicky, upo nyonyo, na wanalea mtoto wa kike, kama ulijua mtoto wa Issa aliyekufa ni kwa Aisha tu, jua kwa Vicky anae aliye hai.
Labda umuwahi kabla hajamuoa.....tena kwa ndoa ya kikristo.
Na utapangwa kama foleni ya madumu.
Ndoa yako aliyokuandikia Mungu ilikuwa na Juma Mchopanga tu...akina Gervas, sijui Ezden hao walikuwa wanataka kujua kama mkorogo wako uko mpaka ikulu au la!!!....walikuwa si type yako.
Msichana mdogo lakini umekomaa kwa kuvamia masusu kwa mambo yasokuhusu.

Nasikia na sasa hivi unavaa makalio ya bandia ili utunishe msambwanda, heheeeeeeee.....halooooooo.
Makalio majaaliwa bibi weee.
Kama huna, huna tu.
Makalio yenyewe kama kipande cha sabuni ya jamaa.

Kwanza unajua kazi ya bwana ako Issa?
Au kuturusha roho tu?
Issa kaacha ofisi yake ya mtaa Bagamoyo kazi kuzurura na wewe tu.
Kutoka Arusha mpaka kuwa mwenyekiti wa mtaa Bagamoyo.
Wanakijiji wanamtafuta mwenyekiti wao, wewe umemfungia kwapani kwako.
Mtoe aende kwao Bagamoyo ofisini.
Ila wote mmekutana, mwanga na mchawi.
Issa wa Arusha to Bagamoyo.
Wewe wa Tanga,humrogi mtu....daadeki.
Kama mbwai na iwe mbwai tu.
Issa maskini kijana wa watu...akiwa na wewe haongei wala hakohoi.
Nasikia ukitoka nje unamfungia ndani, mkiwa kwenye gari unapandisha vioo.
Nyoooooo, shusha vioo tumuone.
We si bingwa wa unyakuzi!
Na kwa taarifa yako Issa mzee wa ku-cropiwa tushapata picha yake.
We endelea kum-crop ila tunamjua ukoko to matandu.
Dida...unajua unazeeka kabla ya wakati?
Na dua mbaya anazokuombea Isha wallah ipo siku utakutwa umekauka Times fm kama mti wa kuni.
Issa hakumpa talaka Isha, wewe kwa kuwa unatumia vipesa vyako vya kuuza unga, ukamrubuni kijana wa watu kaingia kwenye 18 zako.
Na gari ukampa.....shkamoo dudu.

Na wewe Issa, mchaga gani anapenda kitonga namna hiyo?
Wachaga watafutaji sana,kama vipi piga hata kabali.
Siku yakikuchachia utajua kwanini nyoka hana kiuno.
Nenda kamuulize Peter alichofanyiwa na Munalove, Peter analazwa chini, Muna analala kitandani na Kalala jr wakati kitanda kanunua Peter.
Sasa wewe jifanye kidume.
Na ungekuwa mwanaume rijali na shababi usingekubali ku-cropiwa.
Pengine huko uliko hata vidole unachezea....mxyiuuuuuuu.

Kwani kwa Aisha ulikuwa huli?
Ulikuwa uhemi?
Ulikuwa hushibi?
Na kama umempendea weupe Dida, nawe ungemnunulia mkorogo mkeo, japo mkeo ana weupe wa asili kachanganya na kamkorogo (ila si kama wa Dida)

Au kama umefata vitako kwa Dida,
ungemnunulia kigodoro chake mkeo, ukamshonea na akakivaa afanane na Dida
Kwanza sioni hata cha maana unachovalishwa na Dida zaidi ya vishati hivo 2, chekundu na cheupe na raba ya buku-jero Karume.

Haya, nasikia ndoa inanukia, na sharti la kwanza ulilopewa ni kuwa ndoa shurti ifungiwe ukweni.
Na ukweni kwa kina Issa nyumba haieleweki, choo cha kulenga.
Ukapewa amri ya kukarabati nyumba yao ili ufunge ndoa.
Nasikia nyumba inakarabatiwa fastaaaaa......chezea mume wewe, (mume mwenyewe awe sealed basi, wake 2......mxiyuuuuuuuu, ungempata mume bikra si ungejenga ghorofa uwani kwao, tupishe sieeeeee!!!!!)
Umevunja ya udongo....umeweka ya matofali, (Issa hakikisha jina la hati ya kiwanja na nyumba habadilishi, hakawii kubadilika huyo)

Kwanza wewe Issa, hujakaa na kina Ezden kupiga nao story...hawana hamu na Dida.
Dida anakuvua nguo mchana kweupeeeeee mbuzi anakula majani, msikie hivohivo redioni.
Muulize Gervas Mbwiga, anamjua vilivyo.
Kwanza nampa hongera Tecla Benedict kwa kumtoa Gervas kwa Dida, angemkomaza tu mtoto wa watu.


Udamwbwi udamwbwi wako unamrithisha mpaka mwanao Samira.
Kutwa kumuanika maungo yake.
Na Mungu amnusuru asiijue mikorogo.
Na nasikia kwenye cheti na shuleni anatumia Samira Khalidi.
Kwani Khalidi ndo baba mtoto?
Mtoto sio wa Juma huyo kweli?
Kweli dunia imevaa bukta ya ManU.

Da Dida, picha zako za zamani ukijilinganisha na sasa unaona utofauti?
Mshukuru Juma Mchopanga....alikutoa kwenye unyani, maana ulikuwa mbaya Dida,( Mungu anisamehe maana naendelea kuzaa mie)....ukaona hataaaa, ukaanza kujichuna ngozi.
Wenzako uliokuwa nao gym pale Genesis Kijitonyama wanasema Dida ulikuwa unatoa harufu ya kuungua na mkorogo.
Hebu tulia wewe.
Mwenzako Sauda Mwilima kapoteza mtoto kwa mikorogo yake.
Au ndo mana wewe hutaki kubeba mimba?
Beba mimba, utazaa kwa kisu, si unataka mwenyewe kuwa 'mzungu'? kwan sh ngap!!!

Halafu Dida hiyo tabia unayoifanya sio nzuri.
Ndio nini kutembea na Mzee Yusuph?
Isha Mashauzi kalala nae, wewe nawe walala nae.
Waoneeni huruma Leila na Chiku.
Wao ndio wanamfulia na kumyooshea nguo pasi baba wa watu.

Halafu unajikuta tu unasema watoto wa wenzako kuwa wabaya...we Dida wewe shukuru huo weupe wako wa dukani ukiongezea na filter ya camera 360 kama Munalove, mnajikuta akina Beyonce wenyewe.
Na ulivyojaa sura kama airbag ya gari.
Na ole wako siku ya kuachana na Issa umnyang'anye hiyo gari uliyomnunulia, wana wa Bagamoyo watahamisha nyeti zako kuhamia usoni....gari la kijiji hilo.


Mie yangu nimemaliza,
Nawe sijakuchamba saaana maana naogopa usije ukaacha kunialika kwenye pilau lako la harusi bureeeee.
Afu Dida hebu mzalie Issa bhana.
Gervas hukumzalia, Ezden ulitoa mimba yake...pia hukumzalia.
Hebu Issa mzalie jamani.
Samira atacheza na nani?
Au ndo unataka acheze na midoli yako pale kwenye kona sebleni kwako?

Afu wewe, kwa mshahara gani wa Times fm wa kukupa jeuri mjini?
Yaani siku Kinje akifa, mtalia sana punda nyie....nawahesabia siku zenu.

Kwaheri.
Ngoja nifungulie 100.5 niskize micharazo yako na Bi. Hindu.
Na ole wako unichambe.
Nakufungia safari toka huku kwa Manjunju hadi kwako Mbezi beach
Utajutraaaaa maana nakuja na kundi zima la Biginchali...sasa jaribu uone mziki wake.

View attachment 336204
Dida na mtoto wa mjomba wake, Warda.

View attachment 336207
Bwana Issa kawekwa kwapani lakini bado mpua unachungulia

View attachment 336209
Mchaga wa kishimundu mwenyewe anajua kumechishwa na Dida. We ngoja ipo siku.

View attachment 336203
Wahudhuriaji siku anavalishwa pete.
Zaidi ya Warda mtoto wa mjomba ake, hakuna ndugu yake mwingine akiyekuja.

View attachment 336202
Pete ya kujivalisha hiyooo.
Paka urimbo wanase wewe.
kwa mbaliiiii......D & I

View attachment 336214
Issa, mzee wa ku-cropiwa, sijui mchaga wa wapi wewe.

View attachment 336215
Hapa Issa akiwa na mkewe Aisha.
Na kwa taarifa yako Aisha ameshaolewa Tanga....muone

View attachment 336216
Vicky, aliyezaa na Isaa mtoto wa kike.
Dida, kamuue na mtoto wa Vicy basi.

Nifah, Dinazarde, warumi, brenda18, lady in red10, BADILI TABIA, christine ibrahim, smileagain, angelita, andaeni maji ya kupozea ubuyu....maana si kwa kuchubuka ulimi huko.
Da jane leta habari ingine ya hawa supastaa wa bongo naskia raha sana ukiwachana.
 
Tatizo aliingia Marekani kwa fujo sana, akajifanya kila kitu anajua yeye. Mara dream house, Mara designer basi kufanya mashauzi tu yasiyokuwa na maana.
Hahaaaa huyu alikua anawaumiza ma shosti Mara kajifungulia hospital expensive ya Kim kardashian. Sasa na huyu mange Ku handle hali ya mashosti wake kumemshinda fekero life la insta litajawaua watu kwa mawazo
 
Mange asipokuwa kichaa mwaka huh kafubaa hat are hyo marekani bora hata madongo kuinama
Mwenzangu mimi ni mwembamba lakini wembamba ule wa Mange....
Mhhhhh hizo diet zitamfanya kitu mbaya one day.
Halafu kuna wale wasukule wake wanamsifu eti kawa mrembo kama mtoto wa miaka 22!
 
Mwenzangu mimi ni mwembamba lakini wembamba ule wa Mange....
Mhhhhh hizo diet zitamfanya kitu mbaya one day.
Halafu kuna wale wasukule wake wanamsifu eti kawa mrembo kama mtoto wa miaka 22!
Hahahahahahahahaha ukimwambia ukweli unakulablock ya haja na vile vinguo anavyovyaa vya Bokhe
 
Mwenzangu mimi ni mwembamba lakini wembamba ule wa Mange....
Mhhhhh hizo diet zitamfanya kitu mbaya one day.
Halafu kuna wale wasukule wake wanamsifu eti kawa mrembo kama mtoto wa miaka 22!
Ule wembamba wa stress kakonda macho yameingia ndani uso hauna Nuru ya kawaida anatisha kwa kweli hao wanamsifia uongo mno kawa kituko yani utafikiri huwa hali. Hyo diet geresha ana stress na mawazo katisha
Yani kawa had kama mzee loh
 
Hivi kichwapanzi alikuwa house girl wake eeh?
Sio yule Zenat anayetumia mapya2 ndo alikua house girl wake? Mana at first Mange alikua anachamba kua Zenat(Mapya2) anaandikiwa uwezo wa kucheza na smart phone hana eti ha ha haaa
Saivi kapatikana Mange walahi ata madada wa mjini watakua wanacheka huko na simu zao balaa
 
Sio yule Zenat anayetumia mapya2 ndo alikua house girl wake? Mana at first Mange alikua anachamba kua Zenat(Mapya2) anaandikiwa uwezo wa kucheza na smart phone hana eti ha ha haaa
Saivi kapatikana Mange walahi ata madada wa mjini watakua wanacheka huko na simu zao balaa
Hahahahaaa tena usishangae akina Shamimu kumfollow Kichwapanzi...
Mjini hapa raha tupu.
 
Ule wembamba wa stress kakonda macho yameingia ndani uso hauna Nuru ya kawaida anatisha kwa kweli hao wanamsifia uongo mno kawa kituko yani utafikiri huwa hali. Hyo diet geresha ana stress na mawazo katisha
Yani kawa had kama mzee loh
Hahahahahaa Diva umenichekeshaje?
Kweli ule wembamba utakuwa wa stress,tena za kichwapanzi...lol
 
Back
Top Bottom