Haya hayaaaaaa
Nimerudi sasa.
Wewe Dida wewe shabiki mwenzangu wa Yanga,enzi hizo 2011/12 tulikuwa tunakutana sana Magomeni hadi uwanja wa Taifa.....
Nilikuwa nakuchora tu bibi wewe!
Habari zako nilikuwa napewa na wale madalali wa magari pale Magomeni Mapipa Shibam na Chipolopolo.
Wamekunawa karibia ya wote...looooh!
Nilikuwa na hamu ya kukuchamba sana,nikawa nakosa nafasi.
Haya bibi wewe,nyota hiyo uliyo nayo nyota gani?
Ya kutongoza wanao wa kuwazaa mwenyewe?
Halafu unawabembelezea kavu kisha unawahonga magari.
Utongozwe kwa sura gani iliyokujaa kama kiboko?
Unawapata hao marioo tu.
Tena shukuru Mungu na hizo pesa za sembe unazonunulia mkorogo na kuhongea,la sivyo ungeolewa na Dildo.
Hakuna mwanaume ambaye hata angekutazama mara mbili.
Unajitia Dada wa mjini wakati hata makeup hujui kupaka.
Wanja kama mwanamwali wa kimakonde!
Kuvaa unajitahidi lakini kigodoro nacho kinakusaidia.
Sasa wewe si hodari wa kuchamba na huyo mwenzio Bi. Hindu,leo ni zamu yako.
Acha hashuo bibi wewe,kama una nyota tuoneshe bwana wa maana tena akutongoze yeye,sio ujitongozeshe na kujiolesha kama kawaida yako.
Wasalaam
Nifah
Amesikia, anajitia ufahamu asokuwa nao.
Na hao wanaume zake akina Ommy crazy. ...kuleta mashindano ya michambo.
We Majey, kama Maisha Club pamekushinda usituletee usengerema wako, Ndio nini kutuletea Dida na Riyama ili uwashindanishe mashindano ya kuchamba?
Kama imekushinda tupe wadau tuiendeshe, nasikia unadanganya kuwa Maisha Club yako, nyoooooooooo, kidevu kirefu kama kona ya Magomeni.
Utawapata hao hao akina Lulu, watoa kafara.
Ngoja utolewe kafara, mie, Hamisa na Zuhura lazima tuje na ndizi msibani kuulia ubwabwa wako.
Na kuwadi wako Muna lazima umlale, nakujua wewe.
Nyie ndo mnafanya mvua ilikuwa imesimama.
Haya, nawe Dida unadhani mganga wako hatumjui, kwa taarifa yako tunamjua sana, anaitwa Babu anakaa Magomeni, najua mpaka nyumbani kwake.
Ukifika pale hushuki kwenye gari....nyau we.
kwa taarifa yako, siku unajuja pale....nilikuwa nimekaa chini ya vile vijumba kwenye vile viti vya kukunja
Upo Nyonyo?